mtafute figganigga akupe mauzoefuKwa wale girls waliobaki hostel mabibo only, natafuta company ya kupiga stori during evening hours, dinner pamoja na kubadilishana mawazo. I'm a male btn 25-35yrs of age and I ain't a student
Umeona sehemu yeyote nimegusia suala la mapenz? Wabongo kutokuwa waelewa ndo nyinyi mnaochanganya kaz/masomo na mapenzi, ningehitaji wakubanjuana nae ningesema wazi na sio kificho "no strings attached" ni story tu no sex strictly nasema "no sex" nikikutongoza unlipue hapaMkuu kwanini hujioni kama ni mharibifu, ukishampa mimba huyo aunt kweli ataweza kuendelea na masomo?
A student only wa bibz
acha upuuzi wewe ina mana mitaani kwenu umekosa wakupiga nao story na kwanini wawe wa mabibo tuuu kama huna hidden agenda wewe ni fataki mkubwa nenda zako hawadanganyiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!