Movie Nzuri, trailer tayari imesisimua watu lukuki, lakini ninachohofia mimi ni tabia ya Serikali kukatakata baadhi ya scenes katika hiyo movie(kama enzi zileeeeeeee!) na matokeo yake tutakachokuwa tunaangalia katika majumba ya senema hakitakuwa na utamu halisi. Mimi nitafanya mpango niweze kupata original copy hata Black market kwa bei mbaya ili nipate utamu halisi!