Je, umeionaje ngoma ya mapozi ya Diamond, Mr. Blue na Melody?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Binafsi nmeona vitu vitatu Kwa la masimba dangote

1. Baada ya zile tuhuma za Kwamba mwamba anawavimbia wasanii wa kibongo Sasa kaamua kuwapa airtime wabongo ...mind you alianza na jux.....Gnako ...Jana kaja na Mr blue na jay melody.

2. Kaanza kufanya empowerment nje ya WCB Ili kubalance mziki wa bongo kama mnakumbuka ...hapa bongo graph ya mziki ilibend Kwa wasafi tu since record label zote zilikuwa Chali hivyo mziki wa bongo ulikuwa dominated na WCB

3. Ngoma ni Kali sana....wanyama wameua na ilisubiliwa Kwa hamu ....fulsa ya jay melody kuanza kuwika hapa east Africa kwasababu ukitoa wimbo na la masimba dangote Africa yote itakujua ... rather than ukitoa wimbo na kiba, vanboy na konde ...utaishia tu huko Ukerewe

1706259337745.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa upande wangu Ngoma naweza kuipa rate ya 7.5
Na msanii alieupiga mwngi kuliko wenzake kwa mpangalio nitaanzaa na

1. Jay melody
2. Mr blue na mwisho namweka
3. Diamond Platinum

Ngoma ni nzuri ila sio Kali kihivyo sio hit song
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom