Colabo hii itatoa product gani jamani?

Colabo hii itatoa product gani jamani?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1413655166292.jpg
 
Ningekuwa nawafahamu vizuri ningeweza kubuni aina ya product ya kolabo yao.Huyo mdada lakini namfananisha na mshiriki mmoja wa kikundi cha ujinga kiitwacho FUTUHI.

Colabo ya uvyazi SHIEKA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom