- Hii inabidi tuichukue kama ilivyo, Kadri ambavyo prompt yako inakuwa vyema ndio jinsi utapata kile unachotaka kiusahihi zaidi.
-Ukiwa na Prompt iliyosukwa vyema hasa ikiwa katika mtindo JSON (Structured), Haikalishi unetumia AI ipi, Utakuta majibu yanalingana kwa asilimia kubwa.
- Sababu prompt husika hairuhus AI model kufanya assumptions, maana prompt inakuwa very specific.