kweli walio huko watusaidieHivi jamani humu hakuna watu waliopo Dar watupe majibu walipoenda TCU wamejibiwa nini
kuhusu kutotuma code? na inakuwaje kwa watu wa mikoani
walioshindwa kuconfirm sababu ya kukosa code?
Fanya hima wakuu maana jf ni Zaidi ya jukwaa la habari
ni familia inayowaunganisha ndugu wenye lengo moja.
Mkuu simu zote hazipokelewi utadhani wameambiana.Wapigie chuo unachotaka kwenda wakusaidie
Wajinga sana watu wa vyuo unaezapiga simu hayapokei hata mara 7 yakiona vipi yanakataMkuu simu zote hazipokelewi utadhani wameambiana.
mimi ndo maana naunga mkono mheshimiwa
asiongeze mishahara ya watumishi wa umma mpaka amalize kujenga SGR
maana sasa kazi wanayoifanya haieleweki.
Kwa akili hizo bora tu wasipokee simu yako ukose chuoMkuu simu zote hazipokelewi utadhani wameambiana.
mimi ndo maana naunga mkono mheshimiwa
asiongeze mishahara ya watumishi wa umma mpaka amalize kujenga SGR
maana sasa kazi wanayoifanya haieleweki.
Shetani amesikia maombi yako,ila ujue tayari kazi ninayoKwa akili hizo bora tu wasipokee simu yako ukose chuo
TCU Huko wamejaa watu wengi wanashida km yako , tatizo lipo sio kwako tu.nisaidie kupeleka taarifa zangu
Shetani amesikia maombi yako,ila ujue tayari kazi ninayo
ila wewe subiri SGR ikamilike ndo uongezwe mshahara.
slogan ni '' HAPA KAZI TU''
Mnaoendekeza hapa uzembe tu mtalaani sana
lakini dua la kuku halimpati mwewe.
HahahahhhMkuu simu zote hazipokelewi utadhani wameambiana.
mimi ndo maana naunga mkono mheshimiwa
asiongeze mishahara ya watumishi wa umma mpaka amalize kujenga SGR
maana sasa kazi wanayoifanya haieleweki.
Wanatusema eti tunashindia chipsi mara dada zao hawatupendi , mara round moja chali , wakati dada zao wakija kufanya kazi mjini wanarudi wameshiba kitumbo , tumechoka sana bora tungekua tunasemwa na wanawake lakini wanaume wa mkoani ndio wanaongea sanaWanaume wa mikoani mtajibeba saiv....mshatusema sana wanaume wa dar sasa hzo kodi hatuwashughulikii hadi mtie adabu..