Code za TCU ni hatari bora hata kodi ya nyumba

meek boy

Member
Sep 5, 2018
35
19
Mpaka sasa sijapata code

Hapa sieelewi cha kufanya TCU ninmewatumia taarifa zote ila mpaka sasa hamna chochote....

Hawa TCU wanaboa kweli, nashindwa nifanye nini maana nipo mkoani na deadline ya kukofirm ni tarehe 10
 
Write your reply...bro Hao tcu ni Homa ya jiji hizo code kwa saivi kama hauna mtu WA kukufuatilia pale pale ni hatare cha msingi muombe Sana mungu akufanikishe. Izo code MI nahisi zinagawiwa kindugu tu nahisi ni chache kule so Sasa kilicho baki ni gombania goli tumia watu waende pale ngoja ngoja uumiza matumbo
 
Hivi jamani humu hakuna watu waliopo Dar watupe majibu walipoenda TCU wamejibiwa nini
kuhusu kutotuma code? na inakuwaje kwa watu wa mikoani
walioshindwa kuconfirm sababu ya kukosa code?
Fanya hima wakuu maana jf ni Zaidi ya jukwaa la habari
ni familia inayowaunganisha ndugu wenye lengo moja.
 
kweli walio huko watusaidie
 
Mkuu simu zote hazipokelewi utadhani wameambiana.
mimi ndo maana naunga mkono mheshimiwa
asiongeze mishahara ya watumishi wa umma mpaka amalize kujenga SGR
maana sasa kazi wanayoifanya haieleweki.
Wajinga sana watu wa vyuo unaezapiga simu hayapokei hata mara 7 yakiona vipi yanakata
 
Mkuu simu zote hazipokelewi utadhani wameambiana.
mimi ndo maana naunga mkono mheshimiwa
asiongeze mishahara ya watumishi wa umma mpaka amalize kujenga SGR
maana sasa kazi wanayoifanya haieleweki.
Kwa akili hizo bora tu wasipokee simu yako ukose chuo
 
Kwa akili hizo bora tu wasipokee simu yako ukose chuo
Shetani amesikia maombi yako,ila ujue tayari kazi ninayo
ila wewe subiri SGR ikamilike ndo uongezwe mshahara.
slogan ni '' HAPA KAZI TU''
Mnaoendekeza hapa uzembe tu mtalaani sana
lakini dua la kuku halimpati mwewe.
 
yaani ni shida. mpaka sasa watu hawajapata code. ushauri wangu tcu waachane na code. wale waliokosa waambiwe wakaripoti kwenye chuo kimoja wakipendacho.
 
Shetani amesikia maombi yako,ila ujue tayari kazi ninayo
ila wewe subiri SGR ikamilike ndo uongezwe mshahara.
slogan ni '' HAPA KAZI TU''
Mnaoendekeza hapa uzembe tu mtalaani sana
lakini dua la kuku halimpati mwewe.
Mkuu simu zote hazipokelewi utadhani wameambiana.
mimi ndo maana naunga mkono mheshimiwa
asiongeze mishahara ya watumishi wa umma mpaka amalize kujenga SGR
maana sasa kazi wanayoifanya haieleweki.
Hahahahhh
 
Wanaume wa mikoani mtajibeba saiv....mshatusema sana wanaume wa dar sasa hzo kodi hatuwashughulikii hadi mtie adabu..
 
Wanaume wa mikoani mtajibeba saiv....mshatusema sana wanaume wa dar sasa hzo kodi hatuwashughulikii hadi mtie adabu..
Wanatusema eti tunashindia chipsi mara dada zao hawatupendi , mara round moja chali , wakati dada zao wakija kufanya kazi mjini wanarudi wameshiba kitumbo , tumechoka sana bora tungekua tunasemwa na wanawake lakini wanaume wa mkoani ndio wanaongea sana
 
Back
Top Bottom