Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Alikuja mwanzoAngekuja huku angefurahia show
Alikuja mwanzoAngekuja huku angefurahia show
Kumbe wengi tulisoma kimya me nimeingia leo tena faiza aliniquote kumjibu ndio kukutana na mapovu mpaka mambo ya kupewa banNilionao mpenzi nikawa mpole ikabidi nitoke kimya kimya kumbe watu wahawapendi lile povu sio la nchi hii
EwaaaaaaNimeelewa ndugu, x apite hivi new broom sweeps clean hahah
Ngoja arudi povu lake
nilikuwa kwenye mpunga leoNani alikuficha mtoto mzuriii
Then akaamishiwa chimbo lingineAlikuja mwanzo
tupo huku ujue huu uzi tumeuteka kwa x shemela hana chake
leo naona na sifa kawamwagia
Si muosha masufuria auThen akaamishiwa chimbo lingine
Ukiona unasemwa hutakiwiNilivyoona tunasemwa nikatoka sikurudi tena
Bora umenisaidia kuuliza mwenzanguX anakufichaje?
Ngoja tuone kesho atakuwa NaniSi muosha masufuria au
Mhhhhh nilibaki mdomo wazi ujue, ama kweli penye wengi hapaishi vihojaKumbe wengi tulisoma kimya me nimeingia leo tena faiza aliniquote kumjibu ndio kukutana na mapovu mpaka mambo ya kupewa ban
Santee mamaa, huyu mtoto wa kike hanitakii mema aseeNimeelewa ndugu, x apite hivi new broom sweeps clean hahah
Umemuamini mdogo wako
kule kwenu mnanipeleka lini jamanNgoja arudi povu lake
Ooohnilikuwa kwenye mpunga leo
Anajua bila sisi hakuna kitu ujue lazima atusifie![]()
![]()
![]()
leo naona na sifa kawamwagia