Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,937
Hahahaha yupo na Coco wake tuLeo hatuamshi popo wala tembo
X anakufichaje?x shemela![]()
Sio leo tu interview zote amsha popo ipo hapa kwenye uzi wetuKwahiyo Leo mgomo au hahahaha
Amsha popo lazima iwepo,
Wale wanaotak kujifunz hawajafik kwaniHahahaha yupo na Coco wake tu
Hawana lolote,Ndio walivyokuwa wanataka ujue eti tunawazuia kufatilia interview
Angekuja huku angefurahia showSio leo tu interview zote amsha popo ipo hapa kwenye uzi wetu
Me kanishinda aisee nilishamwambiaga asiniquote mambo zake ana mambo zinakeraNgoj nitakutan nae sehem nimchambe
Sidhani Kama watakuwa wengi kuleWale wanaotak kujifunz hawajafik kwani
Woiiiii nimemjibia aliyequotiwa jamaanX anakufichaje?
Alikuja huku kutoa interview imeanza tukaenda kuitikia tumerudi kwetuHahahaha yupo na Coco wake tu
Nilionao mpenzi nikawa mpole ikabidi nitoke kimya kimya kumbe watu wahawapendi lile povu sio la nchi hiiHatuendi leo jana kw Enya uzi wa faiza tumechambwa hatar
Eti chit chat zenu zinawafanya wasielewe kweliii jamaanHawana lolote,
Tehx shemela![]()
Woiiiii nimemjibia aliyequotiwa jamaan
Nilivyoona tunasemwa nikatoka sikurudi tenaKwani Ney hujui yaliyotokea