Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Sep 15, 2017 #841 Shunie said: Kwa bibi wapiii tena si tupo kwenye uzi wetu Click to expand... Hahaha kule kwa Bibi wa jf
Shunie said: Kwa bibi wapiii tena si tupo kwenye uzi wetu Click to expand... Hahaha kule kwa Bibi wa jf
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,937 Sep 15, 2017 #842 Numbisa said: Daima am with zari kwanza simfikii kwa mafanikio yake nayataman ,sijali tabia zake maana naweza mjudge kumbe mie ndo mbaya zaidi kitabia ila kafika mbali sana na kumpa akili dai Click to expand... Ni kweliii
Numbisa said: Daima am with zari kwanza simfikii kwa mafanikio yake nayataman ,sijali tabia zake maana naweza mjudge kumbe mie ndo mbaya zaidi kitabia ila kafika mbali sana na kumpa akili dai Click to expand... Ni kweliii
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Sep 15, 2017 #843 Sakayo said: Pole na majukumu mkuu Click to expand... Asante, pole na wewe
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Sep 15, 2017 #844 issac77 said: wakuu hiyo interview mbona siioni? Click to expand... Ipo tu mkuu nenda darasa la pili A hapo jirani. Maana huku ni darasa la pili B ni wapiga kelele.
issac77 said: wakuu hiyo interview mbona siioni? Click to expand... Ipo tu mkuu nenda darasa la pili A hapo jirani. Maana huku ni darasa la pili B ni wapiga kelele.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,937 Sep 15, 2017 #845 Bailly5 said: Hahaha kule kwa Bibi wa jf Click to expand... Kwa bibi wa jf tuliwaachia wenyewe
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Sep 15, 2017 #846 Shunie said: Kwa bibi wa jf tuliwaachia wenyewe Click to expand... Hahahaha balaa tupu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,112 Reaction score 1,249,107 Sep 15, 2017 #847 Wanafurahia mpaka unashindwa kuelewa wapo upande gan hasa carbamazepine said: Sijajua team mama abdul na wale wengine wameongea nini ila ni povu tu nahisi Click to expand...
Wanafurahia mpaka unashindwa kuelewa wapo upande gan hasa carbamazepine said: Sijajua team mama abdul na wale wengine wameongea nini ila ni povu tu nahisi Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,937 Sep 15, 2017 #848 Kichwa Kichafu said: Ipo tu mkuu nenda darasa la pili A hapo jirani. Maana huku ni darasa la pili B ni wapiga kelele. Click to expand...
Kichwa Kichafu said: Ipo tu mkuu nenda darasa la pili A hapo jirani. Maana huku ni darasa la pili B ni wapiga kelele. Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,937 Sep 15, 2017 #849 Bailly5 said: Hahahaha balaa tupu Click to expand... Ni sheeeda aisee
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,616 Sep 15, 2017 #850 Shunie said: maneno ya mkosaji mfyuuuuu Click to expand... ila hata kama ingekuwa ni wewe lazima ujifariji yule mama ana moyo sana
Shunie said: maneno ya mkosaji mfyuuuuu Click to expand... ila hata kama ingekuwa ni wewe lazima ujifariji yule mama ana moyo sana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,937 Sep 15, 2017 #851 carbamazepine said: ila hata kama ingekuwa ni wewe lazima ujifariji yule mama ana moyo sana Click to expand... Sana jamaan ila wanaume jamaan acha tu
carbamazepine said: ila hata kama ingekuwa ni wewe lazima ujifariji yule mama ana moyo sana Click to expand... Sana jamaan ila wanaume jamaan acha tu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,112 Reaction score 1,249,107 Sep 15, 2017 #852 Usiku mwema pia our emmyta emmyta said: Jamaani ndugu zangu muwe na usiku mwema nitarudi kesho panapo majaaliwa. Nawapenda woote. Click to expand...
Usiku mwema pia our emmyta emmyta said: Jamaani ndugu zangu muwe na usiku mwema nitarudi kesho panapo majaaliwa. Nawapenda woote. Click to expand...
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Sep 15, 2017 #853 Shunie said: Ni sheeeda aisee Click to expand... Coco yupo kweli?
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,940 Reaction score 5,746 Sep 15, 2017 #854 Huyo gamba mbona haji kujibu maswal huku
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,112 Reaction score 1,249,107 Sep 15, 2017 #855 Hahahaha kupendwa raha carbamazepine said: Ulikuwa unatajwa kila siku,ilibaki kidogo tuandamane hadi kwa mods Tulikumiss sana basi tu Click to expand...
Hahahaha kupendwa raha carbamazepine said: Ulikuwa unatajwa kila siku,ilibaki kidogo tuandamane hadi kwa mods Tulikumiss sana basi tu Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,937 Sep 15, 2017 #856 Bailly5 said: Coco yupo kweli? Click to expand... Yupo uzi mwingine huko
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,940 Reaction score 5,746 Sep 15, 2017 #857 Makinikia
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Sep 15, 2017 #858 Sakayo said: Woow Miss you Click to expand... Mimi zaidi mpendwa,za masiku?
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Sep 15, 2017 #859 Shunie said: Yupo uzi mwingine huko Click to expand... Huku ndio Basi Tena au?
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,937 Sep 15, 2017 #860 Bailly5 said: Huku ndio Basi Tena au? Click to expand... Huku tumeshauteka wa kwetu huu ulikuwa wa kukusanya maswali tu mshkaji wangu
Bailly5 said: Huku ndio Basi Tena au? Click to expand... Huku tumeshauteka wa kwetu huu ulikuwa wa kukusanya maswali tu mshkaji wangu