carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
Acha wanafunzi wajifumze,sisi wafanya fujo tuenselee hukuWatakuwa wanafatilia kimyakimya si ndio zao hizo kuwa sisi fujo zetu zinasababisha hivyo
Kumbe kashakuja?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Picha za le mubebez
Me nimewakariri aisee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hao mpaka kuwatafuta maana hata sikua nawakariri majina
Tayari na interview inaendeleaKumbe kashakuja?
Ulikuwa wapi jamaanKumbe kashakuja?
Huyu dada wolper ana muharibu sana na yale magauni yake kama popobawa[emoji23] [emoji23]Naona kaanza kunywa maji woiiii [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yani nipo humu ila notifications zinachelewa kuja leoUlikuwa wapi jamaan
Njoo kwangu uchukue kozi[emoji38]
Bora umekuja ujibu maswali huku
Eti mimi ni nani yako[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wolper stylishHuyu dada wolper ana muharibu sana na yale magauni yake kama popobawa[emoji23] [emoji23]
Huyu dada alikuwa na weusi mzuriNaona kaanza kunywa maji woiiii [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Jamaan tupo kwenye uzi wetu huku tunajiachia wenyeweYani nipo humu ila notifications zinachelewa kuja leo
Kwanza kakimbia
Wako wa3Me nimewakariri aisee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ndo huko nilikuwa naona kimya
Mi pia nianze kunywa maji aisee.Huyu dada alikuwa na weusi mzuri
Aliyemdanganya kunywa maji hamtakii mema kwakweli