Coco beach: Pamoja na farasi kuumia jamaa anaendelea kupandisha watu

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,422
3,393
Jamani wabongo wamezidi ukatiri, coco beach kuna wale watu wenye farasi, wanapandisha watu, halafu wanapewa pesa, sasa kuna mmoja ana farasi na yule farasi anachechemea, ila jamaa hana huruma, anaendelea kumpandisha watu, ili mradi tu apate pesa, nimeumia sana.
 
Ninamiliki farasi uliyemtaja hapo, acha nitafute hela, wewe na serikali yako hauna cha kunifanya. Tulia ...
 
Mmelelewa kwa mateso,roho hizohizo mnapeleka kwa wanyama
Utajijua, waarabu hatuna hiyo kitu unaita haki ya wanyama. Karibu Zanzibar, nikupeleke Oman kwetu uone tunavyotumia wanyama kwa maslahi yetu binafsi.
 
Jamani wabongo wamezidi ukatiri, coco beach kuna wale watu wenye farasi, wanapandisha watu, halafu wanapewa pesa, sasa kuna mmoja ana farasi na yule farasi anachechemea, ila jamaa hana huruma, anaendelea kumpandisha watu, ili mradi tu apate pesa, nimeumia sana.
Umasikini na ujinga! Kuna uwezekano hakuna matibabu yoyote anayompa. Na chanzo cha kuchechemea ni nini, hakumdhuru kweli?
 
kwa hiyo sikukuu yako jana imeishia Coco Beach kwa kwenda kula mihogo ya pili pili na kachumbari ili hali january badooo kabsaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom