wameona coca inapungua kuwa na soko, watu walio wengi hasa mikoani ukiwemo mkoa wa mwanza soda ya coca wameanza kuicha kuinywa kwa kile kinacho daiwa si nzuri kiafya. watu wanao tangaza kwenye star tv kuhusu afya ya binadamu na kemikali tutumiazo, soda ya coca ni moja wapo ya vitu wanavyo shauri kuacha kuvitumia. sijajua kama madai hayo ni kweli au la. na kama ni kweli soda ya coca si nzuri kiafya kwanini inaruhusiwa na TBS kuwa sokoni?
mimi siku hizi nimepunguza sana kunywa vitu hivi. naomba kama katika hoja kama kuna mtu expert atusaidie kuelezea kama kuna madhara kweli au la!
Pamoja na pepsi

TBS ni vibendera tu si ndo hao maboss wao wameswekwa ndani kwa rushwa na ufisadi, siku hizi usalama wa afya yako ni wewe mwenyewe usitegemee tbs wala tfd, hizi taasisi mbili zilianzishwa kwa lengo la kuwaongezea ajira
ndo apo sasa,miaka.nenda rudi tunakunywa,tna raha ya coke unywe ya baridiii...hyo idea yao na voda nzur sanaWatu wamekunywa coke toka wamezaliwa hadi leo wanapeta