Ukijiunga kifurushi cha muda wa maongezi au internet usipotumia kwanini wanakata ?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,797
Hili nalo ni jipu jingine la kuibiwa bila kujua maana ukinunua vocha kama vocha ukaiweka na usipige wala kutuma msg vocha yako haikatwi unaikuta kama ulivyo.

Lakini ukinunua vocha na ukajiunga muda wa maongezi au internet na usitumie wala kupiga simu wanakata hata kama simu umeizima,je?hii si ni wizi kama wizi mwingine?

Kwa ni serikali isilizungumzie hili kwa haya makampuni ya simu? hakun kitu kinauma/ umiza kama umejiunga alafu ile huduma unayotaka kufanya unaikosa kwa tatizo la netwak au unaempigia hapatikani alafu vocha yako uliojiunga bila kuitumia inaliwa.

Ombi kwa serikali naomba muliangalie hili.
 
Yaani inauma kama vile jinsi kipolo Cha wali kinavyo chachaga na majuto anayoyapata mlaji kwa kuchelewa Kukila
 
Back
Top Bottom