Coca Cola na dakika 5 muda wa maongezi

mbeyaman

Member
Sep 28, 2013
97
28
Leo nimesikia tangazo likisema unaponunua soda ya coca cola unapewa muda wa maongezi wa dakika 5 mtandao wa Vodacom.Katika chupa ya soda ndani ya kisoda kuna namba za vocha utakazoingiza ili upate muda wa maongezi utakaoutumia kupiga simu voda kwenda voda pamoja na internet.

Nafikiri huu ni ubunifu mpya katika ushindani wa biashara.Sijajua Pepsi nao watakujaje.Au wanaweza sema ukinunua kreti zima la soda unapata internet bila kikomo kwa muda wa wiki moja.
 
wameona coca inapungua kuwa na soko, watu walio wengi hasa mikoani ukiwemo mkoa wa mwanza soda ya coca wameanza kuicha kuinywa kwa kile kinacho daiwa si nzuri kiafya. watu wanao tangaza kwenye star tv kuhusu afya ya binadamu na kemikali tutumiazo, soda ya coca ni moja wapo ya vitu wanavyo shauri kuacha kuvitumia. sijajua kama madai hayo ni kweli au la. na kama ni kweli soda ya coca si nzuri kiafya kwanini inaruhusiwa na TBS kuwa sokoni?

mimi siku hizi nimepunguza sana kunywa vitu hivi. naomba kama katika hoja kama kuna mtu expert atusaidie kuelezea kama kuna madhara kweli au la!
 
Pamoja na pepsi
 
Kwa kawaida vinywaji vyote vya viwandani vina madhara kiafya.Labda wataalam waje watudadavulie zaidi.
 
wameona coca inapungua kuwa na soko, watu walio wengi hasa mikoani ukiwemo mkoa wa mwanza soda ya coca wameanza kuicha kuinywa kwa kile kinacho daiwa si nzuri kiafya. watu wanao tangaza kwenye star tv kuhusu afya ya binadamu na kemikali tutumiazo, soda ya coca ni moja wapo ya vitu wanavyo shauri kuacha kuvitumia. sijajua kama madai hayo ni kweli au la. na kama ni kweli soda ya coca si nzuri kiafya kwanini inaruhusiwa na TBS kuwa sokoni?

mimi siku hizi nimepunguza sana kunywa vitu hivi. naomba kama katika hoja kama kuna mtu expert atusaidie kuelezea kama kuna madhara kweli au la!

TBS ni vibendera tu si ndo hao maboss wao wameswekwa ndani kwa rushwa na ufisadi, siku hizi usalama wa afya yako ni wewe mwenyewe usitegemee tbs wala tfd, hizi taasisi mbili zilianzishwa kwa lengo la kuwaongezea ajira
 
Kwa dar es saalam kuna vitu vingi vinyo sababisha cancer nje ya soda, eg mboga za majani ambazo zimepandwa na kumwagiliwa na maji yenye chemical kutoka viwandani,
Soda zina chemical lakini ni kwakiasi ambocho mwili unaweza kuhimili ndio maana zimeruhusiwa.tfda na tbs wanafanyakazi ila mambo yenyewe ni mengi sana.

S
 
pamoja na pepsi zote ni mbaya. inatajwa sana coca coz jina kubwa ukilinganisha na pepsi (ball possecion almost 70% kwa 30%) ila voda ni wajanja sana kibiashara. yaan wanawalazimisha wateja kuwafanyia network marketing. yaan promotion ya kukupa muda wa kupiga voda kwenda voda unajikuta unawahamasisha watu kujiunga na mtandao huo bila kujijua. unasikia mtu anakuambia nunua line ya voda niwe nakupigia, na hii wamefanikiwa sana maeneo ya vijijin. mm sio mteja wao lakn najua mbinu zao nyingi ila nawakubali kwa kutujua vzr watz na kutufaidi
 
coca cola haina madhara kiasi hiko kama watu wanavo exaggerate,kitu chochote ni vema kutumia kwa kiasi,sina data za kuwaonyesha live hapa but u may Google kupata taarifa sahihi au angalia kwenye package za hivi vinywaji huwa wanaonyesha calorie content ili ikusaidie utumie kiasi gani
 
Hakuna atakaye eleza kwa undani madhara ya hivyo vitu mpaka itokee amedhurika ndipo atakuja na thread hapa kulalamika.
 
iko hivi bandeko!!!!! mie nina duka na kiukweli soda za pepsi zinauzika sana kuliko za coke maana naweza uza kreti mbili za pepsi kwa wiki ila nikauza chupa 4 za coke asa jamaa wameona zimedoda ndo wakaja na hii gia
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom