Leo nimesikia tangazo likisema unaponunua soda ya coca cola unapewa muda wa maongezi wa dakika 5 mtandao wa Vodacom.Katika chupa ya soda ndani ya kisoda kuna namba za vocha utakazoingiza ili upate muda wa maongezi utakaoutumia kupiga simu voda kwenda voda pamoja na internet.
Nafikiri huu ni ubunifu mpya katika ushindani wa biashara.Sijajua Pepsi nao watakujaje.Au wanaweza sema ukinunua kreti zima la soda unapata internet bila kikomo kwa muda wa wiki moja.
Nafikiri huu ni ubunifu mpya katika ushindani wa biashara.Sijajua Pepsi nao watakujaje.Au wanaweza sema ukinunua kreti zima la soda unapata internet bila kikomo kwa muda wa wiki moja.