Coastal Union vs Simba s.c. Live updates

Ligi ya bongo vichekesho, nilikuwa sifahamu kama Simba mechi zote kachezea hapa Dar
Yaani ni full kichekesho aisee....Sijui ni nani hasa huwa anapanga ratiba........Mechi ya kwanza nje ya Dar wameanza kwa sare licha ya Nsa Job kupewa kadi isiyo na kichwa wala migu......

Hii ndio mechi ya kwanza kucheza nje ya Dar......Mechi nyingine zote 6 wamechezea uwanja wa Taifa ilhali Yanga wao wamecheza mechi 4 nje ya Dar(Mbeya,Morogoro,Kagera na Mwanza) na 3 wamecheza Dar........
 
Jinsi Bongo(Tz) ilivyo zaidi ya tunavyoijua hukawii kusikia watu wameutengenezea zengwe uwanja wa CCM Kirumba ukafungiwa kwa michezo ya ligi,game ya Simba na Toto,Toto akiwa mwenyeji ikapigwa Chamazi

Na uwanja wa kaitaba lazima ufungiwe, game Yanga na. Kagera zote mbili zitapigwa taifa au Kaunda
 
Yaani ni full kichekesho aisee....Sijui ni nani hasa huwa anapanga ratiba........Mechi ya kwanza nje ya Dar wameanza kwa sare licha ya Nsa Job kupewa kadi isiyo na kichwa wala migu......

Hii ndio mechi ya kwanza kucheza nje ya Dar......Mechi nyingine zote 6 wamechezea uwanja wa Taifa ilhali Yanga wao wamecheza mechi 4 nje ya Dar(Mbeya,Morogoro,Kagera na Mwanza) na 3 wamecheza Dar........

Katika mechi alizocheza Dar mnajua ni ngapi Simba alikuwa mwenyeji?? Unajua timu zilizotumia uwanja wa taifa kama wa nyumbani?! Au ulitaka Yanga acheze Kagera, arudi dar halafu akacheze tena Mwz, nyie mnaolalamika hata vitu vya msingi si mngelalamika gharama. Kwanza Yanga mna madeni kibao, njoroge, papic, Simba, si mhindi atapata presha?!
 
mpira umemeisha ondokeni kwenye thread basi.. nendeni kuna thread ya yanga hamieni kule
 
Hii ni live kutoka Tanga,kuna Jamaa yangu kamsikia refa akijitetea mbele ya watu fulani wanaohisiwa kuwa ni wa Simba kuwa alijaribu sana kuwatafutia penalt lakini mazingira hayakuruhusu kabisa ndo maana kaishia kutekeleza 1(la kumtoa mchezaji kwa red card) hilo la penalt likashindikana...ksbb hakuna hata move 1 Simba waliojaribu kuingia kwenye penalt box hata mtu akajiangusha..
Mtani, ni kitambo nafatilia comments zako hususani Simba inapokua inacheza nashindwa kabisa kuelewa utaalamu wako ulikojikita hasa katika uchambuzi wa soka.

Kwa mtu ambaye apiti mara kwa mara JF kwenye jukwaa la michezo au afatilii sana Soka kwa kiasi fulani ni rahisi sana we kwa comments zako kumpoteza kama si kumnywesha sumu kama unavyofanya sasa.

Hii hoja yako naona ungeiamishia kwenye jukwaa la udaku ndo ingependeza zaidi, utanisamehe kwa kusema hivyo ila ndiyo hali harishi; kupotosha umma kwa mapenzi yako na Yanga unaweza kuambiwa kuwa wewe ni mhaini wa Soka la Tanzania.

Mabadiliko yanawezekana kunusuru Soka la Tanzania tukiweka Uyanga na Usimba pembeni katika Uchambuzi wa Soka.
 
Kutolewa kwa Uganda kumetokana na tunda la Simba, Patrick Orchan kukosa penati. Huu ni udhaifu wa mnyama kushindwa kuendeleza vipaji vya wachezaji.
Simba ilishakuza kipaji TP Mazembe wakatoa mil 150 bila kubisha. Endelea na mawivu yako mtaishia kutoa wachezaji kwa mkopo
 
Katika mechi alizocheza Dar mnajua ni ngapi Simba alikuwa mwenyeji?? Unajua timu zilizotumia uwanja wa taifa kama wa nyumbani?! Au ulitaka Yanga acheze Kagera, arudi dar halafu akacheze tena Mwz, nyie mnaolalamika hata vitu vya msingi si mngelalamika gharama. Kwanza Yanga mna madeni kibao, njoroge, papic, Simba, si mhindi atapata presha?!
Nini Yanga kuwa na madeni bana.......Wanadaiwa Real Madrid na Man Utd sembuse Yanga!......

Ukweli ni kwamba mnabebwa sana.....Kuanzia kwenye ratiba mpaka kwa marefa.......

Toto wanawasubiri Mwanza.......
 
Simba ilishakuza kipaji TP Mazembe wakatoa mil 150 bila kubisha. Endelea na mawivu yako mtaishia kutoa wachezaji kwa mkopo
Acha uongo bana......

Mbwana Samatta kakuzwa na timu ya mtaani na baadae kaendelezwa na African Lyon......Alipotoka Lyon kaenda Simba baada ya kupewa gari,akiwa Simba akapata nafasi ya kucheza Champions league TP Mazembe wakamuona.......Simba kacheza msimu mmoja tu na hakuumaliza....Kuna kuendeleza kipaji hapo.......

Ungeniambia mmeendeleza vipaji vya akina Jonas Mkude, Edward Christopher na Ramadhan Singano ningekuelewa, sio kwa Mbwana Samatta......Ni sawa na leo Yanga wajivunie eti wameendeleza kipaji cha Nonda Shaban 'Papii' ilhali alishaendelezwa toka akiwa Burundi.....
 
Nawauliza hamnipi jibu, okwi na maftah walivyopata red mbona hamkusema simba inabebwa, na ni straight red cards?! Mnakazana kusema Simba inacheza mechi zenu. Na mpira wa simba kweli unakera, ni kama hangaisha *****, ukipanic ni red tu. Simba alikuwa mwenyeji mechi na prisons, JKT oljoro, na mojawapo ya timu za jeshi, bhaaaaas! Mechi na yanga, african Lyon na Ruvu hakuwa mwenyeji.
 
Teh teh!!!....................Ukisikia raha na vijimambo vya Utani wa jadi ndo hivi mtani....

Mnabebwa bana................
 
Acha uongo bana......

Mbwana Samatta kakuzwa na timu ya mtaani na baadae kaendelezwa na African Lyon......Alipotoka Lyon kaenda Simba baada ya kupewa gari,akiwa Simba akapata nafasi ya kucheza Champions league TP Mazembe wakamuona.......Simba kacheza msimu mmoja tu na hakuumaliza....Kuna kuendeleza kipaji hapo.......

Ungeniambia mmeendeleza vipaji vya akina Jonas Mkude, Edward Christopher na Ramadhan Singano ningekuelewa, sio kwa Mbwana Samatta......Ni sawa na leo Yanga wajivunie eti wameendeleza kipaji cha Nonda Shaban 'Papii' ilhali alishaendelezwa toka akiwa Burundi.....

Hahaaa, unapagawa sasa, Nani kamuongelea Samata?? Au umekariri kuwa samata ndo kauzwa mil 150. Hata Ochan kauzwa bei hyo. Tunamzungumzia Ochan. Na kama kucheza msimu mmoja haina tija unamzungumziaje ochan kama mchezaji wa simba? Kwa nn usiseme tp mazembe alikokaa misimu miwili.
 
Teh teh.......

Mtani, ina maana kuendeleza kipaji cha mchezaji kuna tafsiri mpya siku hizi?......

Kumbe mnaendeleza hata wazee.........Mi nilijua Ochan kaendelezwa kwao Uganda kabla hajanunuliwa na Simba....

Mi nilivyokuelewa ulikuwa unazungumzia kukuza/kuendeleza vipaji vya wachezaji wadogo na kuwauza kwa bei mbaya...........Sasa huyo Ochan (mwenye umri wa miaka 27 kuelekea 28 sasa) sijui mlimuendeleza vipi ati....

Simba ilishakuza kipaji TP Mazembe wakatoa mil 150 bila kubisha. Endelea na mawivu yako mtaishia kutoa wachezaji kwa mkopo
 
Halafu rambirambi ya Mafisango hamjapeleka mpaka leo
 
Nawauliza hamnipi jibu, okwi na maftah walivyopata red mbona hamkusema simba inabebwa, na ni straight red cards?! Mnakazana kusema Simba inacheza mechi zenu. Na mpira wa simba kweli unakera, ni kama hangaisha *****, ukipanic ni red tu. Simba alikuwa mwenyeji mechi na prisons, JKT oljoro, na mojawapo ya timu za jeshi, bhaaaaas! Mechi na yanga, african Lyon na Ruvu hakuwa mwenyeji.
Yanga inapo fungwa mbona hamsemi inauza mechi ikishinda eti inanunua
 
. Kwanza Yanga mna madeni kibao, njoroge, papic, Simba, si mhindi atapata presha?!
Eti ile rambirambi ya Hayati Patrick Mutesa Mafisango imeishia wapi?.....

Na vipi kuhusu Simba TV na uwanja wa kituruki?..........

Rage bana....................
 
Back
Top Bottom