Coalition of the willing kati ya Makamanda wa Mafisadi kivuli na Walinzi wa Mfumo Fisadi!

omarilyas

JF-Expert Member
Jan 24, 2007
2,130
1,195
Naamka na kukuta Warema na Wasemaji wa Serikali ndio wamekuwa kisima cha ukweli mbele ya manazi wa CHADEMA na Lema ndio amekuwa Malaika Msemakweli wao.

Wanachosahau ni kuwa wakati wa Buzwagi yalisemwa hayahaya kuhusu mkataba na wakati wa EPA waliyasema hayahaya kuhusu Dr Slaa na list ya mafisadi.

Ndio maana
huwa nasema huu uhodhi wa akili fupi katika fikra pinzani ni tatizo kubwa. Hii spidi ya coalition of the willing against Zitto naona inakuwa kwa kasi. I have always say, the only thing wanachoweza hawa jamaa ni kufanikisha "their turn to eat" na sio demokrasia wala ukombozi wa mtanzania from mfumo fisadi kama wanavyojishebedua..

Time will tell!
 

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,850
2,000
HIVI NDIVO INAVOSOMEKA KWENYE WALL YA MH ZITO POLE KAKA TUPO PAMOJA
[h=5]Zitto Kabwe[/h]2 hours ago via mobile

"First they ignore you, then they laugh at you, then they fight you, then you win".
Mahatma Gandhi
 

Bukanga

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
2,862
2,000
Mipasho ya nini?

Kama ana majina kwanini asiyataje?

Unamtetea na utaendekea kumtetea kwa sababu ni rafiki yako.

Halafu wewe kwanini unahamasisha kuwa na mawazo tofauti lakini wewe huwa unablock watu Twitter mkitofautiana mawazo.

Tatizo lako huwa unadhani wewe tu mawazo yako ndio sahihi.
 

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,339
0
mwehu kabisa huyu atashinda wapi na unafiki aliyonao? lazima afahamu kuwa kutaja akaunti ya mtu na pesa yake hadharani ni jinai. Ni mahakama pekee yake inaweza kufanya hivyo endapo tu mmiliki wa akaunti husika ametenda uhalifu. Kwanza aanza na akaunti zote na kiasi cha pesa alichonacho kabla hajataka za wenzie aone kama hilo ni fair. Otherwise zitto is moving with escape velocity in the negative direction.....
 

Jiwejeusi

JF-Expert Member
May 3, 2011
753
0
jamaa kala pesa ili awapotezee mafisadi. jamani huyu. kim njoo na tz unyonge wasaliti.
 

david2010

JF-Expert Member
Sep 23, 2010
244
225
swali kwanza unashindana na nani? taja
wenye account uswizz kwanza ndiyo uwaze kushinda. hii takupa chati angalao kidogo
 

Fugwe

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,679
1,250
mwehu kabisa huyu atashinda wapi na unafiki aliyonao? lazima afahamu kuwa kutaja akaunti ya mtu na pesa yake hadharani ni jinai. Ni mahakama pekee yake inaweza kufanya hivyo endapo tu mmiliki wa akaunti husika ametenda uhalifu. Kwanza aanza na akaunti zote na kiasi cha pesa alichonacho kabla hajataka za wenzie aone kama hilo ni fair. Otherwise zitto is moving with escape velocity in the negative direction.....

Nimependezwa hapo kwenye bold tu nyingine ni chuki binafsi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom