Coalition of the willing kati ya Makamanda wa Mafisadi kivuli na Walinzi wa Mfumo Fisadi!

Naamka na kukuta Warema na Wasemaji wa Serikali ndio wamekuwa kisima cha ukweli mbele ya manazi wa CHADEMA na Lema ndio amekuwa Malaika Msemakweli wao. Wanachosahau ni kuwa wakati wa Buzwagi yalisemwa hayahaya kuhusu mkataba na wakati wa EPA waliyasema hayahaya kuhusu Dr Slaa na list ya mafisadi. Ndio maana huwa nasema huu uhodhi wa akili fupi katika fikra pinzani ni tatizo kubwa. Hii spidi ya coalition of the willing against Zitto naona inakuwa kwa kasi. I have always say, the only thing wanachoweza hawa jamaa ni kufanikisha "their turn to eat" na sio demokrasia wala ukombozi wa mtanzania from mfumo fisadi kama wanavyojishebedua.. Time will tell!

Omary nin kitu gani kinatokea huko ? Mbona mkanganyiko sana .Najua uko karibu sana na Zitto hebu tuwekee haoa tuone maana we are all lost and confused .
 
mwehu kabisa huyu atashinda wapi na unafiki aliyonao? lazima afahamu kuwa kutaja akaunti ya mtu na pesa yake hadharani ni jinai. Ni mahakama pekee yake inaweza kufanya hivyo endapo tu mmiliki wa akaunti husika ametenda uhalifu. Kwanza aanza na akaunti zote na kiasi cha pesa alichonacho kabla hajataka za wenzie aone kama hilo ni fair. Otherwise zitto is moving with escape velocity in the negative direction.....

Hapa umeongea Pumba!.
 
Napendekeza mods waweke kitufe cha dislike tafadhali. Huwa nakitafuta sana .
 
Hata issue ya BUZWAGI walisema hivi hivi, mpaka wakamfungia ubunge lakini mwisho alishinda na baraza la mawaziri likavunjwa, wezi wakatimuliwa, vidampa wa mwenyekiti subirini aibu,
 
serikali imefunga mjadala wa pesa za uswis na zitto kwa kiapo, hivyo basi yeye anatakiwa ajipange upya

Hata mjadala wa Buzwagi ulifungwa, lakini nadhani unajua nini kilifuata, ZZK is not your average politician, he's way too smart...........unganisha vidampa wenu wote hawamfikii hata nusu
 
Hapa umekuja mara ngapi na kijana mwenzio ? Wewe ndiye mshauri wake mkubwa na sasa inawezekana hata ya maandiko yako ni yake kwa namna nyingine na wewe ndiye mchora dili wake mnene mnene
 
Kweli zito msanii
Baada ya kula fungu la maccm sasa unaleta za kuleta kwa wananchi
ivi huwa mambo yako kwa nini unafanya kama mchezo wa kuigiza
Ok kila la heri kama yanayosemwa ni ya uongo
Siku zote uongo hajifichi, na kama kweli umefanya usaliti kwa watz wote
Bila kujali vizazi vijavyo na watoto ambao ndo walengwa wakubwa
Mungu awe pamoja nawe kaka mkuu
 
HIVI NDIVO INAVOSOMEKA KWENYE WALL YA MH ZITO POLE KAKA TUPO PAMOJA

1467262_665941886759845_455859435_n.jpg



Zitto Kabwe

2 hours ago via mobile

"First they ignore you, then they laugh at you, then they fight you, then you win".
Mahatma Gandhi
Mhn!Hii picha aliyoweka kwenye facebook ni ile ziara ya Karatu kule kwa Dr Slaa.Kuna ujumbe hapa,ameamuwa kupambana.Subiri muone next move.Halafu tuangalie na "relevancy" ya Mahatma Gandhi's quote.
 
HIVI NDIVO INAVOSOMEKA KWENYE WALL YA MH ZITO POLE KAKA TUPO PAMOJA

1467262_665941886759845_455859435_n.jpg



[h=5]Zitto Kabwe[/h]2 hours ago via mobile

"First they ignore you, then they laugh at you, then they fight you, then you win".
Mahatma Gandhi

Miaka flan flan gaidi no moja Duniani alkuwa Mzee Madiba Nelson. Sasahivi mtetea amani no moja duniani NI Madiba Nelson ama T'ata
 
Hitler alivyochukua nchi alkuwa NI mtetea wanyonge no moja, kaja kufa NI dikteta no moja.
 
Nachomaanisha, huwezi kujua kilichomo ndani Ya moyo Wa Mtu anayetaka kuwa kiongozi
 
Hata lucifer anajipa moyo kama atashinda.
Haya mambo ya siasa unahusisha lusifa......usipende kulinganisha mambo yasiyoendana,hata hivyo usipende kujiona mtakatifu sana.......Siasa ziwe siasa na dini ziwe dini.
 
Back
Top Bottom