CNN Live National player service Sheikh Kanisani

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,658
Muslim waiombea America Trump akishuhudia kanisani Live CNN. Prayer at National Cathedral Washington. Nadhani kilio cha Waislam kimesikika.
 
Wimbo uliombamba

"How Great Thou Art"

O Lord, my God, when I in awesome wonder
Consider all the worlds Thy Hands have made;
I see the stars, I hear the rolling thunder,
Thy power throughout the universe displayed

Then sings my soul, My Saviour God, to Thee,
How great Thou art, how great Thou art.

How great Thou art, how great Thou art!

And when I think of God, His Son not sparing;
Sent Him to die, I scarce can take it in;
That on the Cross, my burden gladly bearing,
He bled and died to take away my sin.

When Christ shall come with shout of acclamation
And lead me home, what joy shall fill my heart!
[Album version:] Then I shall bow with humble adoration,
[Live version:] Then I shall bow in humble adoration,
And then proclaim, "My God, how great Thou art!"

Muslim waiombea America Trump akishuhudia kanisani Live CNN. National Cathedral Washington. Nadhani kilio cha Waislam kimesikika.
Ilikuwa imepangwa MAPEMA sana kuwa Imam Megid angehusika.

Na huo ni mpango wa JCCIC. -Joint Congressional Commitee of Inaugural Ceremonies.(WABUNGE)/ Kamati ya Muungano wa wabunge wa sherehe za kuapishwa rais.

AmbayoTrump HANA SAUTI katika maombi ya National Day of Prayer maana ni DESTURI.
 
Muslim waiombea America Trump akishuhudia kanisani Live CNN. National Cathedral Washington. Nadhani kilio cha Waislam kimesikika.
The morning after he becomes president of the United States, Donald Trump will hear prayers at Washington National Cathedral from more than two-dozen spiritual leaders of a wide variety of faiths.

The National Prayer Service, an inauguration tradition that has come to include clergy from many religions, will this year feature representatives of the Muslim, Jewish, Hindu, Sikh, Baha’i, Navajo, Mormon, Greek Orthodox and many other faiths.

Some of the clergy, all of whom were announced as participants on Thursday, supported Trump during his campaign for president, such as prosperity gospel preachers Bishop Harry Jackson of Maryland and the Rev. Darerell Scott of Ohio.

Link Praying at the inaugural service: An imam, a rabbi, a Hindu priest and an abundance of pastors
 
Wimbo uliombamba

"How Great Thou Art"

O Lord, my God, when I in awesome wonder
Consider all the worlds Thy Hands have made;
I see the stars, I hear the rolling thunder,
Thy power throughout the universe displayed

Then sings my soul, My Saviour God, to Thee,
How great Thou art, how great Thou art.
Then sings my soul, My Saviour God, to Thee,
How great Thou art, how great Thou art!

And when I think of God, His Son not sparing;
Sent Him to die, I scarce can take it in;
That on the Cross, my burden gladly bearing,
He bled and died to take away my sin.

Then sings my soul, My Saviour God, to Thee,
How great Thou art, how great Thou art.
Then sings my soul, My Saviour God, to Thee,
How great Thou art, how great Thou art!

When Christ shall come with shout of acclamation
And lead me home, what joy shall fill my heart!
[Album version:] Then I shall bow with humble adoration,
[Live version:] Then I shall bow in humble adoration,
And then proclaim, "My God, how great Thou art!"

Then sings my soul, My Saviour God, to Thee,
How great Thou art, how great Thou art.
Then sings my soul, My Saviour God, to Thee,
How great Thou art, how great Thou art!
Bwana MUNGU nashangaa kabisa nikitazama jinsi vilivyo
 
Player = prayer

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Umebugi nishaulizwa mwanzo ni kasema simu nayotumia ili autotype so punguza ushambenga bibi... Wajinga vizee vyenu vilivyokuwa vinabuluzwa na Nyerere. So acha uvivu Wa kusoma quote. Trump keshaagiza mfutwe wote wenye siasa Kali na wewe ni pure radical Muslim Kazi ya kujificha uvunguni unayo
 
Player = prayer

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mkosoe mtu ukiwa unalengo la kumuelimisha.. sio kwa lengo la kumdharilisha.

Humu ndani tupo watu wa aina tofauti sana. Usidhani kila mtu anauwezo wa kuelewa mambo kama wa kwako, wapo uliowazidi pia wapo waliokuzidi.

Uposema mtu kaenda shuleni kusomea ujinga una uhakika kila mtu alienda shule humu?

Acha dharau mkuu..!
Kwanza wewe ndio unaonekana mshamba unaposhindwa kutambua typographies!

nyie ndiyo wale wale tu! mtu anakuuliza: unafanya nii?
unamjibu: una maanisha nini?

hizi lugha kila mmoja anaudhaifu wake sasa wewe kujua kutamka vimaneno vichache tu vya kiingereza basi ushajifanya ndio unajua kiingereza hadi mwisho.

Endelea kutoa shule ya spelling, it's not bad thing, but acha maneno ya dharau.
 
= kumdhalilisha

Wale wale.
 
Umebugi nishaulizwa mwanzo ni kasema simu nayotumia ili autotype so punguza ushambenga bibi... Wajinga vizee vyenu vilivyokuwa vinabuluzwa na Nyerere. So acha uvivu Wa kusoma quote. Trump keshaagiza mfutwe wote wenye siasa Kali na wewe ni pure radical Muslim Kazi ya kujificha uvunguni unayo

Hakuna cha simu wala nini, mlioenda shule kusomea ujinga mnajulikana.
 
Mkuu natumia simu imetype na kujiweka yenyewe bila kufahamu duh

Wacha kuvunga wewe, hiyo simu unatumia peke yako JF?

Unafikiri wote mapunguani wa kudanganywa kijinga namna hiyo?

Sema umekosea tu. Wacha kutafuta sababu za kijinga.

Punguani wahed.
 
Vip Marekani utaenda, nasikia Trump kachagua Waislam wengi sana kwenye system ya uongozi wake. Ndo maana Waislam wa marekani hawalalamiki...
 
In sha Allah panapo majaaliwa US nnakwenda kama kawaida.

Waislam tunaamini katika qadr. Jifunze.

Qur'an 8:30
Na walipokupangia mpango walio kufuru wakufunge, au wakuuwe, au wakutoe. Wakapanga mipango yao, na Mwenyezi Mungu akapanga yake. Na Mwenyezi Mungu ndiye mbora wa mipango.
 
Back
Top Bottom