CMD EXPERTS.WATAALAMU WA COMMAND LINE ZA CMD

Hosea alute

Member
Dec 16, 2017
11
45
Habar zenu jaman.kwanza nawatakia heri ya xmass na mwaka mpya .Ndugu me ninashida na wanaojua cmd ( command line zake ) au hata kama unavideo au link ya toturial nzur ntumie hoseaalute3@gmail.com au 0621920438 .ahsanten
 
VAN HEIST

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,432
2,000
kuna kitu specific unataka kufanya?? au unataka tutorial za cmd kwa ujumla wake?
 
Graph

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
2,743
2,000
Ka huwezi ingia Google then forget it usitumie tu command line. Uvivu kitu kibaya sana, we kujua command line commands hadi uweke namba yako hapa wazi sasa hivi kila mtu anajua identity yako?

Au ndo usalama mnatoa namba ovyo ili wawatafute mdake identity zao? Maana naona kila mtu humu siku hizi akitaka kitu mara nitafute whatsapp namba hii. People mmekosa kazi kugawa namba zenu ovyo kwa kila mtu msiyemfahamu? Hamjui namba zenu zinaweza tumika kwenye mambo illegal alafu mkaishia kujutia?
 
Waaooo tenx umetusaidia sana mungu akubariki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom