Club E

Club E

Mkuu cheki hapo kwenye ukumbi Mlimani City nafikiri watakuwa wameishaanza kufanya sound test na mic check one..two.. hauoni bendera za Club E zinapepea hapo nje..

Asante mkuu itabidi nijongee mida yetu ile.. mida hii bado wauza sura wengi hukawii kupewa kadi ya mchango wa harusi wakati umeenda kula bata
 
mombasa then dodoma! kweli hii ni miaka 50 ya uhuru!

Hujaelewa nini hapo? Nimekuambia kwa sasa nipo Mombasa lakini nikirudi Dodoma nitapata nafasi ya kuwaona kama watakuja.
 
Dah! Ina maana hapa ndani Mlimani City kwenye Club E hakuna member wa JF humu ndani mbona siwaoni.
 
we Smile wewe!nimeingia club E jana saa sita usiku nikitokea buibui kinondoni,mpaka saa hizi niko ukumbini,mbona sikuoni we mtoto? Au uko na TF kona?
 
Mbona sikukuona labda ulizamia.
Mkuu hebu nijuze kidogo, mimi ni member wa club E lakini sijapata Invitation ya event yoyote tangu ile show ya Werrason Diamond Jubelee, au wafanyakazi wa TCC wameanza kuchakachuwwa complimentary zetu?
Hebu nijuze kidogo maana show nyingi zimenipita bila kutumiwa msg kwenye simu yangu.
 
Mkuu uchakachuaji inawezekana upo maana kuna mshikaji wangu mwingine naye aliniambia ni member wa Club E lakini baadhi ya invitation huwa hapati sasa sijui inawezekana wanazigawa kwa wengine.
 
Hii nchi imeshaharibika kila eneo, ngoja next week nikipata muda wa kuchezea nitaenda makao makuu yao kwenda kuwasanuwa, changes begin with u.
 
hivi we Matola TF anakuingiza choo cha kike kirahisi hivo,hivi we unaona TF ana ubavu wa kuingia maeneo ya washua? Kwa taarifa yako TF outing zake na Smile ni uwanja wa fisi,msasani maandazi road,mfaranyaki songea,mlango mmoja mwanza,pumwani nairobi........just mention it!
 
usisahau juzi sijui kenda wapi katuletea picha ya nyama choma, huko ndo kwake...hata baibui old traford kwako hapawezi
 
Ujue uwanja wa fisi panaitwa New York
afu pale mandazi road eti Los angelos

Back
Top Bottom