Club E

Club E

nisaidie kuimuvuzisha kwenye jukwaa husika MOD FIDEL80 plz

Twende zetu Travel tine leo kuna zilipendwa Taarab wakongwe wote watakuwepo sina kampani unajua pale makaka poa kibao nahitaji msaidizi p'se
 
Jamani Mlimani City ndo wapi?
Na Fally Ipupa ni yupi?

Naombeni nije.
 
Mkwe TF hivi inakuwaje nambie hii mambo ya bana ba kongo ndo mambo yako...
....Dah i salute you!
 
twende zetu travel tine leo kuna zilipendwa taarab wakongwe wote watakuwepo sina kampani unajua pale makaka poa kibao nahitaji msaidizi p'se
jamani fidel lini utanielewa? Leo nis pecial day kwa club e njoo nikupe complimentary basi! Huko kwa makaka poa dawa yao madada poa
 
TF mzuka ushapanda......... mkoloni anaweza nipa adhabu ya kutoka kesho nikakosa kusebeneka jioni

kwani kiingilio bei gani? mi napenda sehemu yenye fujo fujo. baadae nipo pale ambiance lakini kama vipi ntapanda hapo mlimani kuangalia kuna nini. pamoja sana. mia
 
jamani mlimani city ndo wapi?na fally ipupa ni yupi?naombeni nije.
unastahiki kiripotiwa abuse kwa kutokuyafahamu hayo kongosho!! Unaonekana wa mjini!! Kweli jf kumejaa ufekifeki
 
Mkwe TF hivi inakuwaje nambie hii mambo ya bana ba kongo ndo mambo yako...
....Dah i salute you!
Mkwe hii mambo ya bana kongoo siku mashetani yangu yakipanda nafukunyua library naanza kucheki na kusikiliza haba ba mutu banapiga sebene acha hapo sijamuweka Koffi Olomide mzee mzima naye huwa anasebene la hatari
 
kwani kiingilio bei gani? mi napenda sehemu yenye fujo fujo. baadae nipo pale ambiance lakini kama vipi ntapanda hapo mlimani kuangalia kuna nini. pamoja sana. mia
Wekundu watatu wewe huyo unachoma ndani chakula na vinywaji vimejumuishwa kwenye hao wekundu watatu
 
Aisee hiyo club E ndio utamu gani tena? yani niko walking distance lakini siijui... hebu fungukeni haraka bana
Mkuu cheki hapo kwenye ukumbi Mlimani City nafikiri watakuwa wameishaanza kufanya sound test na mic check one..two.. hauoni bendera za Club E zinapepea hapo nje..
 
Nipokee eapot basi baada ya masaa mawili. Am taking my private Jet kuja jifunza hilo tu.

unastahiki kiripotiwa abuse kwa kutokuyafahamu hayo kongosho!! Unaonekana wa mjini!! Kweli jf kumejaa ufekifeki
 
Back
Top Bottom