Club Billicanas. Before then

Nimesoma comments zote.

Nimeona jamaaa kweli kutoka moyoni hata huko kuzimu kaungua na kafa kabisa maana alikuwa mbaya kuliko hata shetani.

Ndio kiongozi pekee anakumbukwa kwa mabaya hapa Tanzania
 
Nimesoma comments zote.

Nimeona jamaaa kweli kutoka moyoni hata huko kuzimu kaungua na kafa kabisa maana alikuwa mbaya kuliko hata shetani.

Ndio kiongozi pekee anakumbukwa kwa mabaya hapa Tanzania
Nchi ilipita katika kipindi kigumu mno
 
kwahiyo hii ndio ilimfanya mbowe akimbie shule. na angesoma huyu jamaa angeshakuwa rais aisee, babake alikuwa na hela tangu anazaliwa mbowe, akaona shule haina maana ila UDJ. ona sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ