KIWVOPAMBULI
Member
- May 8, 2012
- 47
- 14
ukweli unabaki kwamba kama ccm watafanikiwa kuja na katiba inayojali maslahi ya taifa hilo litakua pigo kubwa la ukawa.
Mbona yupo bomba tu tena mrembo au ulitaka awe kama miss!!!,au we mama yako yukoje??
Hapana mkuu,jamaa yupo sahihi uyo demu ni kituko cha aja tofauti na ukisikia sauti yake pb.
Mbona yupo bomba tu tena mrembo au ulitaka awe kama miss!!!,au we mama yako yukoje??
Mama yangu kafikaje hapa?Na uzuri wa mtu upo machoni kwa hiyo kama wewe unamuona mrembo ni wewe.
Mbona yupo bomba tu tena mrembo au ulitaka awe kama miss!!!,au we mama yako yukoje??
Mama yangu ni marehemu.......satisfied?
Mama yangu ni marehemu.......satisfied?
Achana nae huyo yani kitu kidogo anaenda kwa wazazi hajui kama anatonesha vidonda vilivyopoa.Pole sana my dia ndo binadamu tulivyo.
Kilichopaswa kujadiliwa ni RASIMU YA PILI YA KATIBA kama ilivyowasilishwa na TUME YA KATIBA MPYA.Na rasimu inapendekeza muundo wa serikali 3 ndani ya nchi iitwayo JMT.Kero inakuja pale CcM walipokuja na pendekezo la ajabu la SERIKALI 2 na kutaka hoja yao hiyo ijadiliwe badala ya kujadili jinsi ya kusanifisha mawazo ya wananchi juu ya muundo wa serikali 3.
Hapo ndipo wana falsafa wanasema,BMK LIMETEKWA NA WAPUMBAVU WENYE TABIA YA KUSHINIKIZA HOJA ZA NGUVU badala ya kuongozwa na WAJINGA wenye kusikiliza,kuuliza na kudodosa ambao wakishaelimishwa husema,"AHAA!!!!KUMBEEE!!!! Na kisha mambo yakaenda sawa
Ufafanuzi tafadhari....Radio tbc ,
Radio clouds
Gazet la uhuru
Jambi leo,
Na wewe!!
Hamtoweza kuwatangaza ukawa Maana mnakula pamoja,
Na ukawa tishio lenu
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti.
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea.
Badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.
Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri.
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa katika mambo makubwa kubwa kama katiba kwa kutojua athari zake?
Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania?
Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia katika mazingira hayo??
Nawasilisha.