Vianelly Vian
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 337
- 100
Kinachofanywa na clouds ni swala ambalo pengine serikali kupitia wizara ya kazi na vijana ingeweza kuwa imefanya. Lakini kwa wao kama private sector wamefanya uzalendo. Ndo maana Rais amewaunga mkono na kuwapongeza. Ile inayorushwa ni clip ya sauti ya rais akiwapongeza wakati wa kuhitimisha fursa. Sioni kama kuna ubaya wowote kufanya hivyo.
kamata fursa twenzetu...iko powa fursa ndio jambo la msingi kwa sasaSkuizi ndo mana kila brazamen na wapiga debe vituoni ndo mana wanautaka urais hyu mkuu wetu kauvunjia heshima sana
Hata mm linanikwaza kwakwel..
Hua cluds hawatumiagi akili kbs cjui wanadhan tangazo likitangazwa na raisi ndo kweli watakua ivo.
So so boring....
Mwl Nyerere aliwaambia ukulu si mahala pa wahuni na machekibob nyie mkamuona anawivu na chuki kwa kaka mkuu.. Haya sasa na mtashuhudia mengi
JK ameufanya Uraisi ni Kuongoza sio Utawala,hataki aonekane kama dikteta au Mfalme,JK mtu wa watu.hana majigambo wala kusujudiwa,wala Ikulu hataki ionekane kama peponi ni nyumba yetu na kila Mtu alieiletea Taifa heshma anawezakwenda,zamani hata Waandishi wa habari walikuwa Ikulu wanaiona kama Peponi.Jamaa akiondoka tutamkumbuka.
Kihistoria taasisi ya urais Tanzania inaheshimika sana. Ukiangalia utawala wa Nyerere, Mwinyi kidogo pamoja na kwamba aliichezea sana taasisi lakini Mkapa alirudisha heshima. Ukweli JK ameifanya taasisi ya urais imekuwa tu kama manager wa bendi fulani.
Nimesikitishwa na kitendo cha Clouds kumtumia JK kutangaza biashara yao. Wanaweka sauti ya JK ikiisifu Clouds kama sehemu ya tangazo la biashara kuitangaza Clouds na kiukweli kiitifika hawapaswi kufanya hivyo. Hivi itakuwaje leo Rais akitumika kutangaza Coca Cola au Azam Cola? Naiomba serikali ijue urais ni taasisi si mtu hivyo vitendo vya kudhalilisha taasisi yetu vikome mara moja. Kama JK anataka kutangaza biashara asubiri amalize kipindi chake cha urais.
Si kuna waziri wa wizara husika kwanini mpaka atumike Jk, au anatengeneza mazingira?Kinachofanywa na clouds ni swala ambalo pengine serikali kupitia wizara ya kazi na vijana ingeweza kuwa imefanya. Lakini kwa wao kama private sector wamefanya uzalendo. Ndo maana Rais amewaunga mkono na kuwapongeza. Ile inayorushwa ni clip ya sauti ya rais akiwapongeza wakati wa kuhitimisha fursa. Sioni kama kuna ubaya wowote kufanya hivyo.