Kwanini maoni ya waliozomea hayaheshimiwi jamani?
Kwa vile anajua mziki asimame kwa miguu yake tu atafka mbona Jide nyimbo zake hazipigwi na clouds still ana shine acheni kuwaandama clouds
Waambieeeee domo nomaaaaaaa
Waache tu huku nilipo mtaan zinapigwa sana nyimbo zaDiamond waache tu radio sio moja