JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Kwa mujibu wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) nchi ina vituo 5 tu vilivyo sajiliwa vya televisheni (ITV, EATV, STAR TV, CHANNEL TEN & TBC1 tu) vituo vingine vyote ni community broadcasters tu a.k.a Tv za chumbani..hata wewe ukiamua kuanzisha sawa tu!
duh. .. Hatari hii. so jamaa hawatambuliki!!!