Opaque
JF-Expert Member
- Oct 24, 2008
- 1,359
- 727
Mambo sio mambo kwa kituo cha runinga cha Clouds TV. Baada ya signal kuwa scrambled usiku wa kuzima mitambo ya analojia, Clouds walikomaa hivyo hivyo kwenye list ya king'amuzi cha Star Times na wakavumiliwa kuendelea kuwepo katika list huku ikiwa channel isiyoonyesha picha yoyote. Jamaa walijitutumua na kupitisha mkanda wa ujumbe katika channels nyingine wakiomba huruma kwamba bado wapo 'dijitali' isipokuwa mafundi wao wanarekebisha mambo.
Hata hivyo uvumilivu umewashinda Star Media (Times) na wameiondoa kabisa Clouds TV katika channels list yao. Ngoma inaanza moja, wazee wa procurement mpo? Kaeni mkao wa ku-bid tender ya kuleta mitambo ya dijitali!