Clouds TV, mmenikera sana!

Waliomjibu mleta mada kweli ni wanajukwaa hili peke yao, nadhani wengi au karibu wote wanatoka Clouds.Mjibuni kitaaluma, itasaidia kuliko vijembe mlivyomrushia
 
Waliomjibu mleta mada kweli ni wanajukwaa hili peke yao, nadhani wengi au karibu wote wanatoka Clouds.Mjibuni kitaaluma, itasaidia kuliko vijembe mlivyomrushia
Kumbe i wanafahamika kuwa ni wana Clouds?
Shame kwa kushabikia badala ya ku frown on negative characteristics in society.
 
Kwa kweli hata mimi wamenikela mpaka nikabadilisha steshen nyingine kwa muda kwa jinsi walivyojadili kama walikuwa wanahamasisha wapewe onyo Kali ili siku nyingine wasirudie
 
Tena sio kuchelea tu ilifika hatua yule msoma magazeti Samu anamgusa gusa mwanamme mwenzake hasani harafu wanacheka hata Mimi wameniudhi sana.
 
usipotoshe,
walicheka pale SAM alipotumia neno student union kama tafsida.! na sio kufurahia kama unataka tuamini.

ukitaka taarifa watangazaji wakiwa wamenuna angalia tbcccm.
Daah [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Pole sana Bashite, omba tu msamaha kwa press uendelee kuuza nyago, mbona mama Fenela Mkangara aliomba radhi na mambo ikawa byee
Msijikwepeshe na nada, na inavyoelekea nyote mko hapo palipotokea tukio,
Mmekosea big time!
 
Pole sana Bashite, omba tu msamaha kwa press uendelee kuuza nyago, mbona mama Fenela Mkangara aliomba radhi na mambo ikawa byee
Nyie vijana mnamatatzo ya kijinsia.
TCRA lazima walangalie hili tatizo kabla watu hmjajihalalishia ushga katika jamii.
Na msijishaue kubadilisha mada ili isahaulike, mmeshabikia kulawitiana watoto wadogo mashuleni aidha kwa kushabikia yale mnayofanya katika jamii, mengine ambayo ni kinyume na sharia.
 
Aisee kuna hata wale 3 waliompiga cheni mlinzi mpaka akauza lindo usiku mzima
 
Hivi kutokucheka ndo kuhuzunika? tuache unafiki wabongo tunajifanyaga kuhuzunika ila watu waone umehuzunika wakat hali halis sio. Unafiki wa wa tanzania hauna mfano..
 
Hivi kutokucheka ndo kuhuzunika? tuache unafiki wabongo tunajifanyaga kuhuzunika ila watu waone umehuzunika wakat hali halis sio. Unafiki wa wa tanzania hauna mfano..
Social ills lazima ziwe addressed kwa uzito na concern inayostahili.
Ukienda msibani utaimba mapambio na si miziki ya ndombolo.

Lazima tuwe serious.
 
Social ills lazima ziwe addressed kwa uzito na concern inayostahili.
Ukienda msibani utaimba mapambio na si miziki ya ndombolo.

Lazima tuwe serious.
Hisia za mtu ziko ndan yake sio machoni ya watu wengine,acha kukremu
 
Jf sasa hivi imekuwa jukwaa la kutulizia msongo wa mawazo. Huo ni ufundi wao wa kuendesha kipindi chao. Ndio maana wako kipekee.

Kumbe hata kufanya mambo ya Kijinga na kwenyewe ni ' upekee ' Mkuu? Nilikuwa silijui hilo.
 
Hii Tabia Ya Watamgazaji wa Clouds Kucheka cheka Hovyo sijui Ndio Kivutio walichonacho. I dont knw .. everythng Kwao ni Utani.
 
Kutokujua hilo ndio ujinga wenyewe pia.

Bora Mimi Mjinga kuliko Wewe Mpumbavu usiyejua taratibu za Chombo husika cha Habari katika kupeleka ' maudhui ' yake kwa ' walaji ' wake hadi unakuja humu na kulalamika. Ungekuwa una background kidogo ya Journalism / Broadcasting ' knowledge ' usingekuwa wa ' hovyo hovyo ' hivi.
 
Hivi kutokucheka ndo kuhuzunika? tuache unafiki wabongo tunajifanyaga kuhuzunika ila watu waone umehuzunika wakat hali halis sio. Unafiki wa wa tanzania hauna mfano..
Mkuu "WaBongo Na WaTanzania " sijui umejihesabu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…