Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,575
WASAFI CHAMA LAO,SIMBA BABA LAO.Aiseee Fiesta wametisha sana kwa kuweka kiingilio cha chini kabisa cha buku 3 (kulipia via Tigo pesa).
Hizi kweli ni levels aisee , nawapongeza sanaaa
Yaani kwa wale watu waliolipia shilingi laki tano wasafi festival bei yao ni Sawa na watu 1666 wa fiesta hizi kweli levels [emoji1430][emoji1430]
Halafu wanaipiga uwanja wa uhuru ili Wajaze vizuri .
Hongereni sana Fiesta kwa kuonyesha mpo levels za kimataifa kwa kutoza buku 3 tuu , tunategemea kutakuwa na watanzania wengi wenye kipato cha chini hasa kutoka maeneo yenye wakazi wengi kama Tandale , Temeke n.k
Fact and well saidSijawai kusikia popote duniani tamasha ambalo ndio kubwa katika nchi liwe chini ya $1.5 huu ni zaidi ya utoto na kuna tatizo kubwa inaoneka ambalo hatujui au ni uoga na kuwadhalisha wasanii wetu, Sasa wasanii wakija kulia njaa tutashangaa vipi? ndio maana Diamond alikataa aya mambo kumbe alikuwa na hoja!
Lakini na sound mbovu ilikuwa na gharama kubwa na ikajaa full,but ngoja tuone hao wanyonyaji wa mawingu na bukubuku zao kama hata robo watafika WCB chama lao.Wasafi ile show ya kijinga unalipa 10000 unaenda kusikiliza sound mbovu,utaona tarehe 8 wanaume tunavyofanya yetu
Yani humor ndani sipati roba zitakazo trendTunamshukuru Simba Amefanya mwaka huu wa kazi wa mbagala ,buza,temeke na viunga vyke tukumbukwe.
Nimeifuma comment yako leo😍Anguko la konde boy na kiba ndani ya fiesta yenye kiingilio cha buku 3
bila kusahau kubakwa na vibakaKwani vibaka sio watu,nyie kama hamtaki basi watu tunaenda kula burudani
nitakua mlinzi wako tuende tutakodi hoteli iliyokaribu na tukio kuepuka vibakaFiesta watajaa watu wa huko huko temeke. Leaders tu watu walikua wanakabwa wanaporwa na hata kubakwa huko taifa sipati picha.