Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Baba joniii, mambo vipi...
 
Tutawalinganisha na wasafi festival watake wasitake. Wanatakiwa waruke kamba ìiyorukwa na wasafi. Kazi wanayo.
Nyie mnaongea kama watoto,kwani clouds ule uwanja wa leaders wameujaza mara ngapi??!!..mnalazimisha wasafi kuwa level ya clouds,clouds ni level nyingine!..nyie na wasafi wenu kazi yenu ni kopi na pesti,kopini na hii,mwakani hiyo wasafi festival yenu muipeleke taifa..
 
Yaani wasafi walete wasanii kutoka nigeria,halafu clouds ishindwe!!..wamekuja akina rick ross kutoka Marekani unapagawa na waduwanzi wa nigeria

Hakuna redio stesheni hapa bongo iliwahi kuleta wasanii kutoka nje inayoweza kuizidi clouds..hiyo ni fact nakupa!
 
Biashara ni akili na mbinu...



Clouds siyo wajinga..
Wengi wao humu ni watoto,hawaelewi
Unajua clouds ina watu wabunifu sana,siku zote wao huwa wanaanza wengine hao akina wasafi,efm,times kazi yao ni kukopi na kupesti
 
Utapasuka mzee
 
Yaani wewe boya ndio clouds wamekuchagua kwa ajili ya promo ya JF? Wamechemka. Naona mawe kidogo tu kwa ajili ya wasafi festival unalia unalia,umeviiiimba,karibia unapasuka
 
Mimi siku hiyo nitakuwepo kuwapa habari jinsi wana wanavyolizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…