Clouds/RUGE na Timu yako: Mtwara Tunazijua Fursa

Clouds/RUGE na Timu yako: Mtwara Tunazijua Fursa

Alafu Mpoto anajidai katumwa na mungu
katiaka kilaza namba moja ni huyu jamaa MPOTO anahisi kama watu wanamuelewa lakini anachofanya ni usanii , yeye anaona hapo alipo amepiga hatua mno kumbe hamna lolote . ruge naye anajiona ni msamaria kwa nasaha anazotoa kumbe ni mnyonyaji tu wa wasanii
 
Hii Clouds FM hii ni bomu linalosubiri kulipuka maana kila uchao wanaongeza maadui juzi juzi hapa walikuwa wanatumia watu sms kuhusu Fiesta na unakatwa Tsh. 150 na wakati muhusika hujajisajili. Wezi wakubwa nyie sasa. mmemvaa Mhe. Pinda na Wakuu wa Mikoa ili kupitisha agenda zenu za siri. achene hizo pesa haitafutwi hivyo CLOUDS. ati FURSA FURSA jaribuni kupeleka Fursa Muone kitakachowapata. Wana Mtwara wameshashtuka sasa. si wale mnaowajua.
 
Back
Top Bottom