Clouds na Matusi ya Lusinde inamaanisha Nini?

Clouds na Matusi ya Lusinde inamaanisha Nini?

Hao ndiyo viongozi wa CCM wenye kuleta maisha bora kwa kila mtanzania,,,,,,,,,twafaaaaaa....!
 
Hebu tuwe waelewa kidogo. Hando alitaka adraw atention ya watu, at first i thought he is watching pono. baadae akawapa watu link, akagundua kuna wengine hawana aces ya net akawaonjesha matusi. what else do u guys want. mi namsifu sana amesaidia sana kusambaza sumu almost TZ nzima. tuwe dynamic kwanza mi siamini kama huyu jamaa ni gamba, na kama ndivyo basi ni Tido in the making. my take pls.
 
Gharama ya fidia itakayolipwa CDM, itatosha kugharamia Uchaguzi 2015
 
Nimeisoma CV ya huyu jamaa.Kwa elimu hii kweli tutegemee chochote cha maana kutoka kwake? Mbaya zaidi hata busara ya kawaida tu anaonekana kuikosa. Hivi alishindana na nani huko Mtera mpaka akaonekana yeye anafaa kuliko huyo mpinzani wake(ndani ya CCM na Upinzani)? Mfumo wetu wa kuwapata viongozi miaka hii una walakin.....
 
Kama uliwasilkiliza vema walikuwa wakishangilia kwa kubeza na kuonyesha ujinga wa Mh. Lusinde. Lo! aibu yake na aibu yao pia.

Ur 100%...Hando was just being sarcastic and cheers were ironic....
 
Matusi ya Lusinde ni mpango maalum wa Mwenyekiti wake kumuangusha Sioi
 
Hebu tuwe waelewa kidogo. Hando alitaka adraw atention ya watu, at first i thought he is watching pono. baadae akawapa watu link, akagundua kuna wengine hawana aces ya net akawaonjesha matusi. what else do u guys want. mi namsifu sana amesaidia sana kusambaza sumu almost TZ nzima. tuwe dynamic kwanza mi siamini kama huyu jamaa ni gamba, na kama ndivyo basi ni Tido in the making. my take pls.

true that mkuu!..also myself i never trusted if G.Hando is "Magamba"...
 
Back
Top Bottom