Clouds mwacheni Diamond

Japo sheria ni yako, ila siuachi msumeno/
Ukijikuna tako, using'ate kucha kwa meno/

Ile michambo ya diamond kwenye account yake ya IG kua hata wapunguze bei ya kiingilio iwe 500 lakini hawamuwezi.

Mbona hukufungua uzi kukemea?
Diamond yupo sahihi kabisa kusema ivo,pia alisema"Njooni muige tena na hii"..Yaani it means kuna watu wa Clouds bado wanamfuatilia,sasa kama mtu hampigi ngoma zake wale stories zake bado mnamfatilia kwanini tena?Hasa Shilawadu.
 
OK Mrs Diamond Platnumz
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…