Hakuna tajiri asiye na mkopo jinga wwWanajua ana mkopo CRDB......na anawadanganya nyie kwamba ni tajiri
Clouds wanateseka sana na mafanikio ya diamond hasa kwenye media ,redio na tv kanunua vifaa vya kisasa zaidi ...vingine hata wao cloudsHivi karibuni nimeona kwenye baadhi ya vipindi vya Clouds vikirusha madongo na kumpiga majungu Diamond Platnumz.
Ushauri wangu: Clouds kama ngoma za Diamond hampigi kuna haja gani ya kumzungumzia kitu gani kinachowafanya mteseke na Diamond.
Mbona wasanii wengi tu hampigi ngoma zao lakini hamuwazungumzii, mfano Jide inakuwaje kwa Mondi? Achaneni na Mondi, Media kama yenu kushindana na mtu mmoja inaonesha jinsi gani Media yenu ilivyoshuka.
Hakuna tajiri asiye na mkopo jinga ww
Wasafi haijafikia hatua yakushindana na clouds hata robo na itaitajika muda ili kufikia lengo hilo na mnavyompa kichwa eti anawatia mawingu prsser dah! basi mondi anaona kweli kiuhalisia mond anatakiwa atulize akili akishindana kapotea sio kidogo kikweli....Clouds wanateseka sana na mafanikio ya diamond hasa kwenye media ,redio na tv kanunua vifaa vya kisasa zaidi ...vingine hata wao clouds
hawana ...walimtengeneza aslay amfunike diamond ikashindikana ,sasa hivi wanatumia alkiba ...lakini hata vumbi tu hawaoni kbs... Wamemtengenezea majungu mara domo
Yote hayo ya nini !! .....kama wao wanajiamini sinwajali yao## tu MAISHA YAENDELEE
Wasafi haijafikia hatua yakushindana na clouds hata robo na itaitajika muda ili kufikia lengo hilo na mnavyompa kichwa eti anawatia mawingu prsser dah! basi mondi anaona kweli kiuhalisia mond anatakiwa atulize akili akishindana kapotea sio kidogo kikweli....