Clouds mjiandae kupita katika kipindi kigumu

Baada ya kuona mtuhumiwa kalindwa na mkulu pamoja na uongozi wa Clouds media kuthibitsha kuvamiwa na mkuu wa mkoa ikiwa ni pamoja na ushahidi wa video kusambaa bado mkulu kaona ni habari za udaku na umbea ambao watanzania wameamua kuusambaza ktk mitandao ya kijamii. Clouds mjiandae kuvamiwa mara kwa mara na serikari kwasababu mmemgusa mwana mfalme hivyo mmetangaza vita na mfalme. Ukweli hautakiwi katika hii nchi na ukiwa kinyume na serikari hii ukae tayari kuandamwa, poleni sana na hongera kwa ujasiri mlioonesha nawatakia mapambano mema.

South
Nchi hiii mbona vitisho sanaa
 
Ni muda wa Kutafuta namna ya kujiendesha pasipo kutegemea matamasha mbona IPP na wengine wanajiendesha hivyo
Yes, Wafanye hivyo ingawa kama hawatasurrender nahisi watapitia magumu sana ishtoshe niche yao (Burudani) inategemea backup ya serikali unlike IPP ambao wamefocus kwenye Habari na siasa
 
Yes, Wafanye hivyo ingawa kama hawatasurrender nahisi watapitia magumu sana ishtoshe niche yao (Burudani) inategemea backup ya serikali unlike IPP ambao wamefocus kwenye Habari na siasa
Na wakisurrender watapoteza wadau wengi ikiwa ni pamoja na kukosa ushirikiano baina ya viongozi na media zote zilizo jitoa kukemea tukio hili
 
Tajiri hasusiwi, Clouds wakitaka batlle na serikali watakwama - Maana ukienda kuomba kibali cha tamasha unaambiwa hali ya usalama siyo nzuri, Na hali ya usalama ikikaa sawa tutawataarifu - utasubiri miaka 5. Hiyo endorsements wanayopewa na wakuu wa mikoa na ma RPC kwenye matamasha yao pia labda ikafa kibudu. Nahisi wanaweza kupata wakati mgumu kwenye mambo yafuatayo:

.......

1.KODI


2.MATAMASHA ( Ulinzi na Usalama )

3.MAADILI ( TCRA )


4.ELIMU ya Watangazaji ( Baada ya miaka 5, [ Sheria ya Habari ] )
Umetumia akili mingi sana kuona mbali...umenena vema mkuu na mimi nimefunguka akili
 
Kuna ka clip cha video wanarusha clouds, kipande cha ile interview ya Ruge asubuhi. Ni kama vile wanajirudi hivi.

Ila ni nani asieogopa? Nani alie salama zaidi?

That vulture is out there at large, with his goon's and guns.
 
Usipotoshe watu..wote tumeona. Tusubiri huo uonevu kama upo.

Ulitaka Clouds waseme yule sio jamaa ktk CCTV?
Acheni uoga wa kijinga.
Ni sawa na mwanaume kweli ashikwe kalio halafu atulie.
Hata hivyo Ruge kamhifadhi sana Daudi Bashite! Ameamua kupotezea suala la vijana wake kuchezea kichapo kutoka kwa askari waliomsindikiza Bsshite! Amemwepusha na jinai ya ujambazi kwa mtutu wa bunduki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom