sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
Clouds Media,wamiliki wa Kituo cha Radio na TV clouds wametozwa fine jumla ya Tshs 5,000,000 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) kwa kukiuka maadili ya utangazaji,katika kipindi cha bibi bomba kilicho kuwa kinarushwa na clouds TV na kusema kuwa kiliwazalilisha mabibi(bibi) na Kipindi kingine ni cha Njia panda kilichorushwa na Clouds Radio.
Kipindi cha Bibi bomba kilishawahi kulalamikiwa hapa kwenye huu uzi; Kipindi cha bibi bomba kinadhalilisha bibi zetu
Source Habari channel Ten leo 22/08/2014
Kipindi cha Bibi bomba kilishawahi kulalamikiwa hapa kwenye huu uzi; Kipindi cha bibi bomba kinadhalilisha bibi zetu
Source Habari channel Ten leo 22/08/2014