ile sio redio ni kituo cha matangazo.Wahuni sana wale utasikia uzalendo uzalendo kumbe wanajipitisha kwenye watoto wa wakubwa.
Hivi hawa jamaa wanakuwaga upande gani linapotokea sakata kama hili la escrow?
Maana wamekuwa wakitumiwa na CCM kubeza hoja thabiti za upinzani.
Usikute wakaanza kulaumu UKAWA
Tangu kibonde apigwe Tanganyika jeki amekuwa mpole