Wale watetezi wa DAB wakilijibu hili uni-tag pleaseTamasha la Fiesta limefanyika mikoa mingi nchini na kwa miaka mingi je lilikuwa linafanyika kimyakimya?
Binadamu wa kawe Tanganyika pekaz Wana tofauti na wa lidaz?
Je, taarifa ya tamasha ilifikishwa ofisi za manispaa lini?
Kama tunaweza wasababishia wajasiriamali wadogo hasara kubwa kiasi hiki tunaumuhimu gani wa kuwaelekezza watu wafanye kazi?Where is Hapa kazi tu slogan?
Una hoja zaidi ya personal attack na blabla tu.
Clouds walijisahau sana mkuuWashazoea hao na itawatafuna sanaa mawingu
Hahaaaaa wejamaa nikuache tu una ubongo au maji mambo ya kifutwa fiesta nimezungumzia saangapi kumbe hata hujui tunabishana nini, labda nahisi umenikoti Mimi kwabaati mbaya.Sawa ww ndio unahoja, fiesta imefutwa kwa sababu ya wasafi festival haya kojoa ukalale
Chief miaka mingapi fiesta imekua inafanyika pale leaders? Hakuna mtu dar asiyejua uhalisia wa lile tukio la fiesta. Hao manispaa wamekua wakitoa vibali kila mwaka na wanajua kabisa kwamba ni outdoor event na hizo speaker kila mwaka zipo.
Hakuna la tofauti lililofanyika mwaka huu. Kwahivyo kama kulikua na hiyo concern..wasingetoa kibali cha awali au wangewaambia tangia mwanzo waende huko kawe. (Halafu najiuliza kawe hakuna wagonjwa? au kwasababu wa pale ni maskini?).
Wewe umetumwa na mabeberuBinafsi nimesikitika sana kwa hili lililowakuta CLOUDS MEDIA, lakini pia ni njia nzuri ya kukumbushana kwamba maisha ni yetu sote.......nimesema hivi nikikumbuka ugomvi wa Ruge (Clouds) na Mheshimiwa Sugu, kijana wa watu alilalamika sana dhuluma aliyofanyiwa, lakini kwa vile wakati ule Clouds walikaa mahali pa juu enzini, Sugu alionekana anapiga kelele tu (kelele za chura).....Mungu si Athumani, leo kibao kimegeuka, hawako tena pembeni mwa kiti cha enzi, hatimaye wanafaidi wengine nao sasa wamekuwa walalamikaji........Maisha haya!!
Ni kweli lakini tunapaswa kuambizane vijana kuchanganya ujasiriamali na siasaUmeongea ukweli kabisa! ila hata hao wasafi ni too late!
Walishajiingiza chaka pale walipomteua Bashite awe mlezi wao mkuu
Mkuu huenda hiyo ndio sababu...lakini kama ilikua ni kulinda vibarua vyao...then wasingetoa kuanzia mwanzo. Maana wanajua hayo malalamiko yapo kila mwaka. Sasa hii ya kutoa kibali na kuwasababisha watu waingia gharama ya maandalizi halafu dakika ya mwisho kufuta kibali imewafanya waonekane kama wana kisasi na clouds. Mie ningekua Waziri wa tamisemi ningemtumbua huyo aliyetoa na kufuta kibali.hisia zangu zinaniambia vibali vilikua vinatolewa kimagumashi...sasa siku hizi watu wanalinda kazi zao...fiesta leaders imekuwa ikilalamikiwa muda mrefu sana
Ha ha ha ha ha......mkuu sijatumwa na yeyote wallah......nawasikitia sana Clouds kwa hayo masahibu waliyopata......nawasikiliza hapa wanatia huruma, wanapiga nyimbo za dini.Wewe umetumwa na mabeberu
Wenzenu wanakataliwa kukutana na wapiga kura wao eti polisi hawatoshi! Heri yenu mmezunguruka mikoa mingi mmekosa mmoja tu.Tamasha la Fiesta limefanyika mikoa mingi nchini na kwa miaka mingi je lilikuwa linafanyika kimyakimya?
Binadamu wa kawe Tanganyika pekaz Wana tofauti na wa lidaz?
Je, taarifa ya tamasha ilifikishwa ofisi za manispaa lini?
Kama tunaweza wasababishia wajasiriamali wadogo hasara kubwa kiasi hiki tunaumuhimu gani wa kuwaelekezza watu wafanye kazi?Where is Hapa kazi tu slogan?
Wametoa taarifa kuwa ni upotoshaji,Huenda yule mwamba amekata moto, dah God forbid!