Clouds Media Group watangaza kusitisha tamasha la Fiesta Dar

Tamasha la Fiesta limefanyika mikoa mingi nchini na kwa miaka mingi je lilikuwa linafanyika kimyakimya?
Binadamu wa kawe Tanganyika pekaz Wana tofauti na wa lidaz?
Je, taarifa ya tamasha ilifikishwa ofisi za manispaa lini?
Kama tunaweza wasababishia wajasiriamali wadogo hasara kubwa kiasi hiki tunaumuhimu gani wa kuwaelekezza watu wafanye kazi?Where is Hapa kazi tu slogan?
 
Wale watetezi wa DAB wakilijibu hili uni-tag please
 
Sawa ww ndio unahoja, fiesta imefutwa kwa sababu ya wasafi festival haya kojoa ukalale
Hahaaaaa wejamaa nikuache tu una ubongo au maji mambo ya kifutwa fiesta nimezungumzia saangapi kumbe hata hujui tunabishana nini, labda nahisi umenikoti Mimi kwabaati mbaya.
 
Chief miaka mingapi fiesta imekua inafanyika pale leaders? Hakuna mtu dar asiyejua uhalisia wa lile tukio la fiesta. Hao manispaa wamekua wakitoa vibali kila mwaka na wanajua kabisa kwamba ni outdoor event na hizo speaker kila mwaka zipo.

Hakuna la tofauti lililofanyika mwaka huu. Kwahivyo kama kulikua na hiyo concern..wasingetoa kibali cha awali au wangewaambia tangia mwanzo waende huko kawe. (Halafu najiuliza kawe hakuna wagonjwa? au kwasababu wa pale ni maskini?).

hisia zangu zinaniambia vibali vilikua vinatolewa kimagumashi...sasa siku hizi watu wanalinda kazi zao...fiesta leaders imekuwa ikilalamikiwa muda mrefu sana
 
Binafsi nimesikitika sana kwa hili lililowakuta CLOUDS MEDIA, lakini pia ni njia nzuri ya kukumbushana kwamba maisha ni yetu sote.......nimesema hivi nikikumbuka ugomvi wa Ruge (Clouds) na Mheshimiwa Sugu, kijana wa watu alilalamika sana dhuluma aliyofanyiwa, lakini kwa vile wakati ule Clouds walikaa mahali pa juu enzini, Sugu alionekana anapiga kelele tu (kelele za chura).....Mungu si Athumani, leo kibao kimegeuka, hawako tena pembeni mwa kiti cha enzi, hatimaye wanafaidi wengine nao sasa wamekuwa walalamikaji........Maisha haya!!
 
Umeongea ukweli kabisa! ila hata hao wasafi ni too late!
Walishajiingiza chaka pale walipomteua Bashite awe mlezi wao mkuu
 
Binafsi nimesikitika sana kwa hili lililowakuta CLOUDS MEDIA, lakini pia ni njia nzuri ya kukumbushana kwamba maisha ni yetu sote.......nimesema hivi nikikumbuka ugomvi wa Ruge (Clouds) na Mheshimiwa Sugu, kijana wa watu alilalamika sana dhuluma aliyofanyiwa, lakini kwa vile wakati ule Clouds walikaa mahali pa juu enzini, Sugu alionekana anapiga kelele tu (kelele za chura).....Mungu si Athumani, leo kibao kimegeuka, hawako tena pembeni mwa kiti cha enzi, hatimaye wanafaidi wengine nao sasa wamekuwa walalamikaji........Maisha haya!!
Wewe umetumwa na mabeberu
 
hisia zangu zinaniambia vibali vilikua vinatolewa kimagumashi...sasa siku hizi watu wanalinda kazi zao...fiesta leaders imekuwa ikilalamikiwa muda mrefu sana
Mkuu huenda hiyo ndio sababu...lakini kama ilikua ni kulinda vibarua vyao...then wasingetoa kuanzia mwanzo. Maana wanajua hayo malalamiko yapo kila mwaka. Sasa hii ya kutoa kibali na kuwasababisha watu waingia gharama ya maandalizi halafu dakika ya mwisho kufuta kibali imewafanya waonekane kama wana kisasi na clouds. Mie ningekua Waziri wa tamisemi ningemtumbua huyo aliyetoa na kufuta kibali.
 
Wewe umetumwa na mabeberu
Ha ha ha ha ha......mkuu sijatumwa na yeyote wallah......nawasikitia sana Clouds kwa hayo masahibu waliyopata......nawasikiliza hapa wanatia huruma, wanapiga nyimbo za dini.
 
Tamasha la Fiesta limefanyika mikoa mingi nchini na kwa miaka mingi je lilikuwa linafanyika kimyakimya?
Binadamu wa kawe Tanganyika pekaz Wana tofauti na wa lidaz?
Je, taarifa ya tamasha ilifikishwa ofisi za manispaa lini?
Kama tunaweza wasababishia wajasiriamali wadogo hasara kubwa kiasi hiki tunaumuhimu gani wa kuwaelekezza watu wafanye kazi?Where is Hapa kazi tu slogan?
Wenzenu wanakataliwa kukutana na wapiga kura wao eti polisi hawatoshi! Heri yenu mmezunguruka mikoa mingi mmekosa mmoja tu.
 
Back
Top Bottom