Clouds Media Group watangaza kusitisha tamasha la Fiesta Dar

Mkuu nimeshangaa sana, kuarishwa kwa tamasha la fiesta kila mmoja anatoa kumbukumbu zake kuhusu Ruge....kwani Rige anahusika nini na kuarishwa kwa Tamasha...ina maana hapo clouds hakuna mtu mwingine wa kusimama nafasi ya Ruge.!
Ngoja sebastian maganga aje kujibu swali lako.
 
Nafikiri CMG wamefanya uamuzi mgumu lakini ni sahihi kabisa kusitisha kilele cha tigo fiesta kuliko kile ambacho kimeonekana kama ni altenative ya kuhamishia Tanganyika peakers (kawe) wakati walikuwa washafanya maandalizi pale leaders club..

Waswahil wanasema ni bora kuwa maskini jeuri kuliko kuwa tajiri mtumwa.. Wangeenda Tanganyika peakers watawala wangefanikiwa kupata wanachokitaka kuwafanya wawe watumwa wao.
Waliotoa kibali ndio hao hao.wamesitisha mengine ni dhana yako tu !
 
Kwa kweli Naanza kuwaonea huruma Clouds...Ruge huko aliko anaweza kufa presha kabisaa..! ila bashite ni Nyokaaa shetanii yulee khaa...Alivokuwa anacheka na kuwapa promo eti moja Kubwa kumbe moyoni ashajipanga kuwaangusha Clouds mamaeee nlijuaa tu ma....kuuu yuleee...!
Bavicha mna nongwa jamaa ! Daaah...
 
Wale walionunua tiketi mitaani waende sehemu waliponunua na watarejeshewa fedha zao na wale walionununua kwa Tigopesa watarejeshewa kwa njia hiyo hiyo ya Tigopesa. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tamasha la Fiesta Sebastiani Maganga alipozungumza na wasanii pamoja na waandishi wa habari.
Source Clouds tv!
 
Tuko bize na makatoooo ya mafao ya watumishi wetu kwanza...
Mambo mengine hayo badaye

Ova
 
Kuna uhusiano gani wa kuairishwa tamasha la fiesta na kupewa salam za pole kwa Ruge binafsi...

Karibia wasanii wote wa fiesta na watangazaji wa clouds salamu za pole zimeenda kwa Ruge binafsi na sio kampuni kwa kuingia hasara.

Au tamasha limearishwa kwa maombi maalum kwa Ruge...

Nimejiuliza tu kwa sababu napenda kudadisi.
Mkuu hapo ulipo unaeleakea 80, bado unafuatilia tu fiesta?
 
Leo majira ya saa 5 tulipata taarifa za kuairishwa kwa Tamasha kubwa la Muziki Tanzania. Tujadili hapa,kuahirishwa kwa tamasha hili kuna athari gani kwa wasanii,wadhamini,wapenzi wa muziki,wafanya biashara na wadau wa Muziki kiujumla
 
Back
Top Bottom