Clouds Media Group watangaza kusitisha tamasha la Fiesta Dar

Waseme tu Kama Ruge hatunaye tena tujue moja...!

Sio rahisi kusitisha tamasha last minute ...! Maanake hata nyimbo zinazopigwa Clouds leo sizielewi.. zinanikumbusha kifo cha Mwalimu..!
Yeye ni nani hata wafiche kusema, Nyerere mwenyewe tuliambiwa faster!!
 
Fiesta ilifanyika Abeid at the big expense ya hao madogo walio kuwa wameandaa tamasha lao, ambalo lilikuwa lifanyike a day before Fieasta

Fiesta kwa kutotaka wasiwe na bugudha yoyote kwa sababu tamasha la hilo jingine lingeathiri maandaliz yao,

Wakafanya figisu madogo wakanyang'anywa uwanja masaa mawili kabla tamasha halijaalnza

Na walikuwa walikuwa wameingia gharama kubwa ikiwemo kuleta wanamuziki wa injili toka South Africa na Kenya
Karma
 
Ktk mishe ambazo Konda Boy amewahi kutuliza wenye lake na akaicheza kwa ufasaha ni hii movie! Much respect kwake
 
Kweli Adui hauwezi kumuuwa ukikaa nae mbali we tengeneza urafiki nae kisha muuwe
Kwani ummaliza wakati upo nae mbali utajenga suspicious kwamba wewe ndie muhusika ila ukiwa nae karibu waweza msaidia kuzima moto kumbe wewe ndio umeuwasha ....
Naona kabisa harufu ya hii kitu!!!
 
Fiesta ilifanyika Abeid at the big expense ya hao madogo walio kuwa wameandaa tamasha lao, ambalo lilikuwa lifanyike a day before Fieasta

Fiesta kwa kutotaka wasiwe na bugudha yoyote kwa sababu tamasha la hilo jingine lingeathiri maandaliz yao,

Wakafanya figisu madogo wakanyang'anywa uwanja masaa mawili kabla tamasha halijaalnza

Na walikuwa walikuwa wameingia gharama kubwa ikiwemo kuleta wanamuziki wa injili toka South Africa na Kenya
Karma
 
hii movoe lazima iwe na part 2 trust me ipo siku watu watafanyiwa figisu ya maana
 
Kuna uhusiano gani wa kuairishwa tamasha la fiesta na kupewa salam za pole kwa Ruge binafsi...

Karibia wasanii wote wa fiesta na watangazaji wa clouds salamu za pole zimeenda kwa Ruge binafsi na sio kampuni kwa kuingia hasara.

Au tamasha limearishwa kwa maombi maalum kwa Ruge...

Nimejiuliza tu kwa sababu napenda kudadisi.
 
Back
Top Bottom