Clouds kwa hili la Clouds Plus mmezidi!

Clouds kwa hili la Clouds Plus mmezidi!

Aisee mkuu sometimes potezea tu..usiangalie

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Duuh! Dekoda yangu sikumbuki mala ya mwisho nililipia lini.



post using my macbook air using jamiiforums app
 
Msilaumu sana. Hata huku Startimes kuna Sibuka mara mbili. Hio Sibuka moja unalipia pia.
Ruge sio wa kulaumu. Ni ubunifu tu wa biashara.Hutaki unaacha tu kuangalia.
Kwani soda inapouzwa 1000 kwa baadhi ya sehem mbona hatuhoji?
 
Mimi kitu najiuliza ni kama jamaa anawalipa wasanii kwa ku-air life yao nje ya jukwaa ama la !? Au kwenye mkataba wa shows za fiesta kuna kipengele cha wao (clouds) kumiliki haki za kuonesha video za muhusika? Maana usijekuta msanii kalipwa hela ya kuperform tu ilhali mwenzake (clouds) anapiga pesa za television huku..
Si bora msanii arekodi show yake atupie Youtube aokote mia mbili mbili.
 
Back
Top Bottom