Clouds kwa hili la Clouds Plus mmezidi!

Clouds kwa hili la Clouds Plus mmezidi!

U

Umeelewa mkuu, kuna watu hawaelewi kwamba hili ni zao la udhaifu fulani katika mamlaka ila kwa upeo wao watakujadiri wewe uliyeamua kusema kana kwamba umeongea kitu cha hovyo. Ni lazima tukiri hili ni ombwe na si suala la kusema eti "hujalazimishwa, si lazima, kama huwezi uache" n.k. Hizi kauli ni kukwepa ama kulinda udhaifu uliopo badala yake unaamua kuuzunguka mbuyu kwasababu huwezi ama kwenye hilo wewe ni kanyanga
TCRA walisema local Chanel ni free matokeo yake ni kinyume chake mpaka Waziri aongee ndiyo utaona wanakurupuka.
 
Mkuu aisee hata me nimeshangaa jaman ndio hivyo tunaopenda ile channel inabidi tujiunge tu kwa shingo upande ila hawatutendei hakiii kabisaa
Polee sana

Au achana nayoo
 
Watanzania watu wa hovyo sana na ndo maana mnatesana sana na kuishi kwa visasi. Sishangai kuona wenzetu wakilalamika kwenye huduma kuongezeka hata senti lakini kwa hapa Tz utaitwa mwehu ... Labda kwa kukusaidia, si kila anayesema basi kashindwa hilo jambo.

Naamini nimeanza kuitumia Azam hata kabla labda hujawaza kuitumia kama kweli unayo na huu ni mwaka wa 5 sasa unaisha naitumia Azam na ukitaka reg# yangu pia ntakupa ukahiki. Nimelipa vifurushi vyote kwa utashi wangu na hakuna mwezi sijalipia wala kukwama kulipa.

Kwahiyo usifikilie tunaongea kisa hatuwezi kumudu ama labda ni pesa nyingi, lah! Tunaongea kama watanzania na kama jamii ya watanzania. Tunaelewa pia ni soko huria lakini mwanadamu unahitaji kuhoji na kutafiti kwasababu una utashi na haliwezi kuwa kosa. Si ajabu kuhoji kwangu hapa kuna kitu nadevelop ambacho wewe huwezi kukielewa badala yake utaona tu eti watu wanalalamika.

Usipende kudharau vitu vidogo ukafikiri ni vikubwa pekee ndo vinakufanya kuwa mwanadamu ama kwasababu tu wewe vidogo vyote unavyo. Katika kuongea hivi tunapata nafasi ya kuwasaidia wengine wengi sana na ndo maana ya kuongea haijalishi hicho kitu kwako kinahusika kiasi gani.
Grow big and not fat!
Pamoja sana mkuu.
 
Sina king'amuzi cha azam ila kama anafanya hivi alipaswa kuwa na kisumbuzi chake mwenyewe ama hii gharama iwe inclusive kwenye bundle la azam.... Vinginevyo kuna udhaifu kwenye regulatory organ ambayo ni tcra na sisi watumiaji tusikae na kushangilia kisa ww unauwezo wa kulipia separate..
Mbaya zaidi hiyo channel haina lolote la maana, utumbo mtupu. Angeanzisha tu na yeye king'amuzi chake afanye aina ya biashara aitakayo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacheni kulia lia lia kama watoto,Hiyo ni Biashara na kila Biashara kuna faida na hasara
Utaki na unaona ghalia achana nao na hata hao AZAM waache angalia TBC na ZBC..
 
Upuuz tu MI ni.eipotezea,channel yenyewe haina lolote LA maana movie zilezile za hovyo haraf zinarudiwa kupita kiasi,aanzishe nayeye king'amuz chake sio kutuletea malipo juu ya malipo
 
Alafu inascratch kinoma... muvi zile zile zisizo na kiwango... muvi moja kila siku inarudiwa bora angekua wanaonyesha za mbele sawa
 
Hayo ya kulipia pesa channel zingine sio geni kama umeshayaona kabla.. kama ni ngeni kwako badi anza kuzoea.. ndio maisha hayo
 
Watanzania watu wa hovyo sana na ndo maana mnatesana sana na kuishi kwa visasi. Sishangai kuona wenzetu wakilalamika kwenye huduma kuongezeka hata senti lakini kwa hapa Tz utaitwa mwehu ... Labda kwa kukusaidia, si kila anayesema basi kashindwa hilo jambo.

Naamini nimeanza kuitumia Azam hata kabla labda hujawaza kuitumia kama kweli unayo na huu ni mwaka wa 5 sasa unaisha naitumia Azam na ukitaka reg# yangu pia ntakupa ukahiki. Nimelipa vifurushi vyote kwa utashi wangu na hakuna mwezi sijalipia wala kukwama kulipa.

Kwahiyo usifikilie tunaongea kisa hatuwezi kumudu ama labda ni pesa nyingi, lah! Tunaongea kama watanzania na kama jamii ya watanzania. Tunaelewa pia ni soko huria lakini mwanadamu unahitaji kuhoji na kutafiti kwasababu una utashi na haliwezi kuwa kosa. Si ajabu kuhoji kwangu hapa kuna kitu nadevelop ambacho wewe huwezi kukielewa badala yake utaona tu eti watu wanalalamika.

Usipende kudharau vitu vidogo ukafikiri ni vikubwa pekee ndo vinakufanya kuwa mwanadamu ama kwasababu tu wewe vidogo vyote unavyo. Katika kuongea hivi tunapata nafasi ya kuwasaidia wengine wengi sana na ndo maana ya kuongea haijalishi hicho kitu kwako kinahusika kiasi gani.
Grow big and not fat!
Stop complaining brother....

Starehe gharama, pay for it or leave it...

Unataka watu waumize vichwa kufanya innovation halafu wewe ujipatie service bure....wa wapi wewe???
Au kwa roho yako mbaya unaona Ruge ataapaata???

You are such a disgrace!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo mengine yawe nami mapka basis hata kma kutafuta cyo tena kihivi yani ulipie king'amuzi alafu bado tena ulipie channel iliyoopo kwenye king'amuzi yani ni swa nakulipia ving'amuzi viwili kwa wakati mmoja wapiga dili bado wapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom