Clouds kumshusha Rick Ross au Nick Minaj.

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
4,434
1,765
Imethibitika kuwa mmoja kati ya hao anaweza kudondoka kwenye kilele cha Fiesta mwisho wa mwezi huu DSM. Narudia tena, mmoja kati ya Rick Ross na Nick Minaj atadondoka kupiga show ya mwisho ya Fiesta mwaka huu.
 
sio Mwita25??
 
Tatizo ni kupandisha hao wasanii wao wa nje saa kumi alfajiri. Hii inaonesha jinsi gani msanii wa mamtoni anavyokua anabembelezwa kwa bei poa kama bidhaa inayouzwa jioni na mmachinga. Wajipange clouds 7bu wasanii wandani ya nchi ndio wanaofanya kazi kubwa ktk fiesta kuliko hao wanaotoka mbelembele.Am out.
 
Samahani mimi napita tu hapa, kati ya hao wasanii kuna yeyote aliyepata tuzo hivi karibuni? kama tuzo za Oscar award au kuwepo kwenye top ten ya billboard chart.
 
Kwahyo clouds kama kadawia yao wanawadaka kutoka kenya! Mambo yao ya kiwasiwasiii sasa yani hawana uhakika nani atakuja coz wanasubiri atakayewahi kwenda kenya ndio wanamdaka.
 
Mkuu tuzo za oscar ni kwa ajili ya movies...jipange
Sawa nimekuelewa sasa ngoja nijipange, mimi si muelewa sana wa hawa celeb lakini napenda kuhudhuria show ya Msanii ambaye yupo kwenye chart, huo ndio msingi wa swali langu.

Sasa basi katika tuzo zote unazozijuwa wewe je hawa wamo? na je hiyo billboard nayo ni ya watu wa movies!? asante kwa kunielewa nategemea utanipatia ufafanuzi mujarabu ili nifanye maamuzi.
 
Huyo rick ross lazima ashuke. Lakini inabidi wawe wanawalipa vizuri wasanii wetu kama wanavyo fanya kwa hawa wa nje.
 
Hivi DMX aliishia kutangazwa na clouds kuwa watamleta alafu akayeyukia wapi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huu ni ulimbukeni kwa hao Clouds kung'ang'ania kuwaleta watu wa nje ni pesa nying sana watamlipa mmoja kati ya hao koz wapo katika peak asaivi. Nadhan waboreshe cha nyumban kwanza ndo hao wengine wafuate. Au vp hao wakina Rick Ross wawazungushe mikoa yote mpaka Kagera ndan ndan huko. Why Dar pekee?!
Imethibitika kuwa mmoja kati ya hao anaweza kudondoka kwenye kilele cha Fiesta mwisho wa mwezi huu DSM. Narudia tena, mmoja kati ya Rick Ross na Nick Minaj atadondoka kupiga show ya mwisho ya Fiesta mwaka huu.

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
Imethibitika kuwa mmoja kati ya hao anaweza kudondoka kwenye kilele cha Fiesta mwisho wa mwezi huu DSM. Narudia tena, mmoja kati ya Rick Ross na Nick Minaj atadondoka kupiga show ya mwisho ya Fiesta mwaka huu.

Kumbe na wewe Bongo Flava ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Rick Ross.jpg

kwa waiomjua ndio uyo rick ross
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom