Kipindi cha jahazi kipo hewani muda huu, Diamond kaalikwa, moja ya maongezi yake, kailalamikia serikali kwamba wanadai kodi bila kuangalia wao wanavyodhulumiwa kwenye nyimbo zao, ambacho ni kweli.
Ila kakosea kwa kutoa lugha chafu ambayo haikustahili kurushwa hewani na kwa umaarufu wake hakustahili kuitamka. Cha ajabu kina Gardner na wenzake wanacheka. Huyo mtu atawaponza kwa TCRA.