RESCUE TANZANIA
Member
- Mar 30, 2012
- 56
- 8
CLOUDS FM mnajifunza nini kwa matukio yote yanayouhuisana na redio yenu pamoja na mkurugenzi wenu Ruge kutuhumiwa kwa dhuluma dhidi ya wasanii? ingekuwa msanii mmoja tungesema sawa lakini cople of artists wanablame kuhusu nyie! there must be a problem somewhere..........alianza SUGU akiwa na machungu ya kudhulumiwa dili ya MALARIA, then wakafuata kundi la artists kibao kwa jina la VINEGA wakirelease album ya ANTIVIRUS ambayo kwa asilimia 100 imeonyesha chuki na lawama dhidi ya CLOUDS na RUGE.....wasanii waliokuwemo ni pamoja na mapacha, sugu mwenyewe, rama Dee, Dani Msimamo na wengine wengi,,,,then juzi juzi tu tumesikia zengwe la Lady Jay Dee dhidi ya RUGE......na jana katika msiba wa ngwea nasikia Adam Mchomvu amekula makonde ya kutosha kutoka kwa MAJANI ni kutokana na Mangwea kudhulumiwa album yake iitwayo a.k.a MIMI na VENTURE pamoja na RUGE..kwa hiyo kuonekana kwa Adam Mchomvu(Presenter) ilionekana kama unafiki fulani....kuna griavancies nyingi ambazo ni underground.....mara mpige marufuku nyimbo za baadhi ya wasanii bila sababu......kwa mtazamo wangu nyimbo ingepigwa biti ikiwa haina maudhui mazuri kwa jamii so mtatuambiaje kuhusu hili......do you promote music or kill it....what do you learn from this.........do you think of even changing? maoni yangu kaeni chini matafakari then mjisafishe na kuja na strategies zingine kwa manufaa ya wasanii, Radio, na wasikilizaji