Clouds fm what do you learn from this

Clouds fm what do you learn from this

hayan majamaa nao ni ya kufilisi...kama hii nchi ikichukuliwa na watu wengine...filisi yote kabisa....yanatabia ya kusifu wasanii wakisha kufa bana..
 
Mbona mwana FA ni msomi lakini bado ametekwa na clouds, nasikia mpaka shoo yake kaweka tarehe moja na jide ili tu kumkomoa, tatizo sijui ni nini hawa wasanii wetu! Nilikua najua ni elimu lakini hata wasomi nao hawajitambui!
 
Back
Top Bottom