Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Mimi nimesema tokea asubuhi nasema clouds wanafanya makosa kurusha kitu ambacho hawana uhakika nacho
Wewe subiri watajuta kurusha hii clip
Prof Nkoma kaa tayari kwa hii sokomoko
Je, JF nayo itajuta kuzaliwa?
Hahahahahahahahah
waulize tcra kuhusu sheria za ku deal na social medias zitawekwa lini? Japo juzi wamesign!
Safi sana,na ngoja iwekwe ITV kabisa ili watanzania wajue ukweli,wauaji wakubwa hawa. Wameenda kumua kijana wa morogoro,wamemtia kilema kijana wa igunga na sasa wamemtoa jicho kibanda
Umesahau na kule Singida, Ndago kweli ni wauwaji hao Mwigulu na Nepi, na propaganda zao za mauwaji.Safi sana,na ngoja iwekwe
ITV kabisa ili watanzania wajue ukweli,wauaji wakubwa hawa. Wameenda
kumua kijana wa morogoro,wamemtia kilema kijana wa igunga na sasa
wamemtoa jicho kibanda
Ndo mana hawakufungiwa ili wafanye hii shughuli.
anaweza kupelekwa ze heg (Hague) kwa kutoa video ya uchochezi, hata huyo aliye i load kwenye u tube, huku akijuwa wazi ni fake.Nimefungulia radio na kumsikia Kibonde akiwa anasoma taarifa iliyoandikwa katika gazeti la Mwananchi juu ya polisi kumkamata Lwakatare. Muda mfupi wakaweka audio ambayo iliwekwa humu jamvini. Hivi ni sahihi CLOUDS FM kuiweka public hii audio? Je itakuwaje kama itathibitika hii video and audio ni fake?.